Nactevet toeni matokeo ya mitihani vijana wajue fate yao, wazazi wajiandae na ada za mwaka 2022/2023 (vyuo vinafunguliwa 17/10/22)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
 
Sawa mkuu
 
Wahusika zingatieni hili ni muhimu hali ya uchumi ni tete muda ni mfupi au toeni mwelekeo!
 
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana.Hawajali kabisa masuala ya elimu na jinsi tunavyopoteza pesa kwa uzembe wao.
Hapa wanachelewesha matokeo na muhula unachelewa kuanza vile vile.
Kwa kweli kwa kada hizi za afya,muda huwa hautoshi.Kupoteza wiki mbili tu ni hasara kubwa mno kwa mwanafunzi.

Kama hawawezi kusahihisha upesi,kwa nini wasiongeze idadi ya wasahihishaji ama kutumia teknolojia inayotumika na NECTA?
 
NACTEVET inahitaji marekebisho, CEO yupo yupo tu hana lolote la maana analifanya. Inahitaji reform. Tunaanzia wapi kushinikiza/kuonesha mapungufu ,makubwa ya operation za NACTEVET.
 
Mtaala unaotumika ni wa Wizara ya Afya, Mtihani unatungwa na wizara ya Afya na matokeo yanatoka Wizara ya Afya.
 
Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
Usifundishe watu kazi vikao vya tathmini na uchambuzi bado vinaendelea. Per Diem @250,000/=
 
Siwafundishi, lkn wajue kuna watoto wanataka matokeo wajue moja! You have it, 250,000 per day...lazima wavute sana.... ingekuwa 50,000 per day hakuna ambaye angelikuwa bado yuko kwenye vikao
 
NACTEVET inahitaji marekebisho, CEO yupo yupo tu hana lolote la maana analifanya. Inahitaji reform. Tunaanzia wapi kushinikiza/kuonesha mapungufu ,makubwa ya operation za NACTEVET.
tuandike humu JF kwa wingi, fortunately enough samia na wenzake wanapita humu

Trully NACTEVET inahitaji total reform
 
Back
Top Bottom