DOKEZO Nadai fidia kutoka Mgodi wa Barrick North Mara toka 2023 bila mafanikio, naomba msaada nipate haki yangu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyoo ni tapeli tu, hv anajua maana ya Bilioni 100
 
Mkuu umesema mlikubaliana kumaanisha una documents za hayo maridhiano? Licha ya hiyo wakati mnauziana lazima pia una documents sio? Sitaki kuamini kwamba umekosa msaada kabisa kwanzia ngazi ya wilaya, hadi wizara au kama vp ita wanahabari ishu ikishakua kubwa lazima upate msaada lakin bado siamini umekosa msaada ata wa mwanasgeria pro Bono mana hio pesa ndefu mnoo
 
Mental health is real Hata mama Samia lazima aogope 🤝
 
Hii kesi kama naijua, Nyie sio mlikuwaga na kina penina mhere wangwe au?

Augustino Nestory Sasi is a 75-year-old resident of Nyamongo in Tarime District, Mara Region, Tanzania, known for his protracted and widely publicized legal battle over land compensation against Barrick Gold / North Mara Gold Mine
 
KAMPUNI ya Uchimbaji wa Dhahabu ya Barrick North Mara imemlipa fidia ya Ardhi kiasi cha Tsh. Milioni 500 Augustino Nestory Sasi mkazi wa Nyamongo wilayani Tarime mkoa wa Mara baada ya kushinda kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Musoma dhidhi ya Mgodi wa North Mara kesi aliyoifungua tangu mwaka 2005
 
Mbn ndogo,zitawatosha kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…