DOKEZO Nadai fidia kutoka Mgodi wa Barrick North Mara toka 2023 bila mafanikio, naomba msaada nipate haki yangu

DOKEZO Nadai fidia kutoka Mgodi wa Barrick North Mara toka 2023 bila mafanikio, naomba msaada nipate haki yangu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pole sana Mzee wangu.
Fainali uzeeni.

Wanajeshi ndio Mmeiweka Hiyo selikali madarakani.
CCM haina uwezo wa kushinda Uchaguzi Bila kitumia Jeshi especially police.

Mnapokuwa kazini Muwe mnaangalia kesho Yenu na Watoto wenu.
HII NCHI NI YETU SOTE.
acha kumwonea mzee wa watu.. ulitaka mzee afanye nini wakati nyie wenyewe mlijifungia vyumbani mlipoitana kwenye maandamano?
 
Back
Top Bottom