Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,351
- 5,556
Kama ndiyo mwenye Nguvu Moja Security Co.Ltd uliyoifungua ghafula kwa Back- up ya Uncle Magufuli-Marehemu na akawapa amri wakupe Kandarasi zote za Ulinzi kwenye Migodi yao yote ukiwemo North Mara Gold Mine hutoboi.
Kampuni yako ilifanya kazi chini ya kiwango na kuwasababishia hasara kubwa sana na wakikulalamikia tu unapiga simu kwa Rais Magufuli ana toa amri kibabe wakuache uendeleee na Mungu akamtwaa ndiyo wakaweza kukusitishia Kandarasi.Huwawezi tena hao ndiyo wenye nchi kwa sasa.
Vipi yale Makontena yao ya Makinikia pale Bandarini bado yamezuiliwa pale?!!!!