Habari ndugu watanzania,
Naiomba serikali yangu tukufu iliangalie hili jambo ambalo mgodi wa barrick north Mara unatangaza wazi wazi kuiweka mahakama ya tanzania na serikali mfukoni kwamba najisumbua kwenye swala langu ambalo mwaka2013 walinifanyia tathimini na 2023 nilifanya makumbaliano na kampuni kulipwa lakini nambiwa kwamba wao mgodi wa Barrick North Mara wameiweka mahakama na serikali mfukoni na wanazo pesa za kumwaga ili nisipate haki yangu maana wana wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi mgodini sasa niwatumishi wa serikali
Nimekuwa nikiomba mazungumzo na kampuni ya Barrick North Mara ilikumaliza suala hili nje ya mahakama lakini naishiwa kuambiwa nieende popote sehemu yoyote napojuwa mimi ili nipate haki yangu kulipwa billion 100 pesa nayo dai baada ya kufanya makubaliano kwenye kata na mgodi
Muheshimiwa rais wa tanzania mama Samia Suluhu Hassan naomba unisaidie maana wewe ndiye msaada wangu mimi na mimi ni mzee wa miaka 80 na mstaafu wa jeshi la wananchi
Nimekuwa nikitumia gharama nyingi kuendesha suala hili lakini nanyimwa haki yangu wazi wazi kabisa
Kama walikuja kwangu kuhitaji aridhi yangu nikakubali kwanini hawataki kunilipa
Swala hili limenifanyia madeni makubwa sana nahitaji msaada
AUGUSTINO NESTORY SASI NYAMONGO TARIME
0765426281
Mahakama ya Tanzania Tanganyika Law Society samia Suluhu Hassan ubalozi wa Canada Tanzania Wote wapenda haki
Kwa kutaja tu kuwa ulikuwa mwanajeshi basi mimi nasema wacha ukipate ulicho stahili na bado ,nyie si ndio walinzi wa uharamia na maharamia wa serikali hii dhidi ya raia, ninyi si ndio huwa mnatumia kuzuia wanachi kupata haki zao zinazo minywa na serikali mkiwa na mitutu mikubwa mikubwa!Habari ndugu watanzania,
Naiomba serikali yangu tukufu iliangalie hili jambo ambalo mgodi wa barrick north Mara unatangaza wazi wazi kuiweka mahakama ya tanzania na serikali mfukoni kwamba najisumbua kwenye swala langu ambalo mwaka2013 walinifanyia tathimini na 2023 nilifanya makumbaliano na kampuni kulipwa lakini nambiwa kwamba wao mgodi wa Barrick North Mara wameiweka mahakama na serikali mfukoni na wanazo pesa za kumwaga ili nisipate haki yangu maana wana wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi mgodini sasa niwatumishi wa serikali
Nimekuwa nikiomba mazungumzo na kampuni ya Barrick North Mara ilikumaliza suala hili nje ya mahakama lakini naishiwa kuambiwa nieende popote sehemu yoyote napojuwa mimi ili nipate haki yangu kulipwa billion 100 pesa nayo dai baada ya kufanya makubaliano kwenye kata na mgodi
Muheshimiwa rais wa tanzania mama Samia Suluhu Hassan naomba unisaidie maana wewe ndiye msaada wangu mimi na mimi ni mzee wa miaka 80 na mstaafu wa jeshi la wananchi
Nimekuwa nikitumia gharama nyingi kuendesha suala hili lakini nanyimwa haki yangu wazi wazi kabisa
Kama walikuja kwangu kuhitaji aridhi yangu nikakubali kwanini hawataki kunilipa
Swala hili limenifanyia madeni makubwa sana nahitaji msaada
AUGUSTINO NESTORY SASI NYAMONGO TARIME
0765426281
Mahakama ya Tanzania Tanganyika Law Society samia Suluhu Hassan ubalozi wa Canada Tanzania Wote wapenda haki
Ninyi wastaafu wa Jeshi 2025 si mlikaa kikao Kwamba serikali ya Samia ipo vizuri iendelee hivyo hivyo.!!Habari ndugu watanzania,

Hawajui shetani hana rafikiSerikali ina utukufu gani? Kama ni mwanajeshi naomba hao Barrick wasikulipe hata 100 mbovu kmmk. Mkiwa mnatumika hua hamkumbuki na nyie yatawakuta?
Hata mimi siamini kabisa, madai ya B100 uje kuyadai mtandaoni😳Sikuamini hata kidogo. Watu wa kule Nyamongo wengi wanajifanya wana hati miliki ya ule mgodi...uzoefu wangu unanipa mashaka na haya unayoaandika
Yule mzee angekuwepo,sijui nilitaka kusema nini??Habari ndugu watanzania,
Naiomba serikali yangu tukufu iliangalie hili jambo ambalo mgodi wa barrick north Mara unatangaza wazi wazi kuiweka mahakama ya tanzania na serikali mfukoni kwamba najisumbua kwenye swala langu ambalo mwaka2013 walinifanyia tathimini na 2023 nilifanya makumbaliano na kampuni kulipwa lakini nambiwa kwamba wao mgodi wa Barrick North Mara wameiweka mahakama na serikali mfukoni na wanazo pesa za kumwaga ili nisipate haki yangu maana wana wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi mgodini sasa niwatumishi wa serikali
Nimekuwa nikiomba mazungumzo na kampuni ya Barrick North Mara ilikumaliza suala hili nje ya mahakama lakini naishiwa kuambiwa nieende popote sehemu yoyote napojuwa mimi ili nipate haki yangu kulipwa billion 100 pesa nayo dai baada ya kufanya makubaliano kwenye kata na mgodi
Muheshimiwa rais wa tanzania mama Samia Suluhu Hassan naomba unisaidie maana wewe ndiye msaada wangu mimi na mimi ni mzee wa miaka 80 na mstaafu wa jeshi la wananchi
Nimekuwa nikitumia gharama nyingi kuendesha suala hili lakini nanyimwa haki yangu wazi wazi kabisa
Kama walikuja kwangu kuhitaji aridhi yangu nikakubali kwanini hawataki kunilipa
Swala hili limenifanyia madeni makubwa sana nahitaji msaada
AUGUSTINO NESTORY SASI NYAMONGO TARIME
0765426281
Mahakama ya Tanzania Tanganyika Law Society samia Suluhu Hassan ubalozi wa Canada Tanzania Wote wapenda haki
Kama mtaani kwenu hakuna mwendawazimu. jichunguze sana, yawezekana ukawa ni wewe.😂 😂 😂Kapachome moto mzee!!!
Wakikupeleka mahakamani waambie ulikua unasafisha shamba lako unataka kulima.
Wakikwambia ni eneo lao waambie wakuonyshe risiti walionunua.
Mkuu B100 siyo mchezo, hiyo ishu ingekuwa realistic hata mwakili wa nje wangekuwa wameshairukia. Kibatala kweli hataki ishu kama hiyo ya B100! Nahisi hapo kuna kitu hakiko sawa, mfano malipo yalishafanywa au mzee hana docs za ku support hayo madai. Mfano kama mzee wetu anastahili hizo B100 na ana docs zote za ku support hayo madai unadhani angekuwa salama mpaka sasa akifatilia hayo madai.✓kwanza mzee pole Kwa unayopitia,
✓pili serikali hii sio tukufu Haina utukufu wowote wala popote
✓Tatu ukweli mchungu sana wewe kubali tu kwamba system yote ipo mfukoni Kwa mdosi barrick so hauna pa kutokea hivyo hutapata unachokitaka
✓Lakini cha nne na mwisho ni kwamba huyo unaesema na kumtegemea ndie msaada wako hawezi kukusaidia chochote wala lolote maana hata yeye yupo Kwa back pocket, hata ivo imeandikwa katika biblia takatifu amelaaniwa mtu yeyote amtegemeaye mwanadamu so technically umelaaniwa.
Haya mawazo mabaya sana ,kwamba nchi haiwezi kuwa na mifumo thabiti ya kusimamia maswala ya nchi na raia wake hadi tuwe tunasubiri misafara ya wahuni wa CCM.Vizia siku Waziri Mkuu anamkutano sehemu kawalipue uko kama ndani ya siku mbili hujapewa chako