SankaraBoukaka JF-Expert Member Joined Jul 2, 2019 Posts 3,577 Reaction score 5,664 Jun 17, 2026 #81 CAPO DELGADO said: Pole sana Mzee wangu. Fainali uzeeni. Wanajeshi ndio Mmeiweka Hiyo selikali madarakani. CCM haina uwezo wa kushinda Uchaguzi Bila kitumia Jeshi especially police. Mnapokuwa kazini Muwe mnaangalia kesho Yenu na Watoto wenu. HII NCHI NI YETU SOTE. Click to expand... acha kumwonea mzee wa watu.. ulitaka mzee afanye nini wakati nyie wenyewe mlijifungia vyumbani mlipoitana kwenye maandamano?
CAPO DELGADO said: Pole sana Mzee wangu. Fainali uzeeni. Wanajeshi ndio Mmeiweka Hiyo selikali madarakani. CCM haina uwezo wa kushinda Uchaguzi Bila kitumia Jeshi especially police. Mnapokuwa kazini Muwe mnaangalia kesho Yenu na Watoto wenu. HII NCHI NI YETU SOTE. Click to expand... acha kumwonea mzee wa watu.. ulitaka mzee afanye nini wakati nyie wenyewe mlijifungia vyumbani mlipoitana kwenye maandamano?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Jun 17, 2026 #82 Dah Ova