DOKEZO Nadai Tsh. Milioni 440 kwa Mkandarasi wa SGR. Naomba Serikali inisaidie, napigwa danadana tangu Desemba 2022

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pole sana na changamoto za kibiashara Ila kuna vitu unatakiwa kufanya, wakati mwingine inabidi ujue haki zako nacho jua kuna kipengele cha malipo kwamba lazima ulipwe ndani ya siku 28 tangy malipo kupata approval kama unatumia Sheria za PPRA

Tumia hicho kigezo na kile cha kudai interest kama unachelewa kupata malipo yako , Kwa kuonyesha unapocheleweshewa malipo fedha yako inaathirika na kukosa thamani omba interest Kwa kutumia vifungu vya sheria vilivyoko kwenye mkataba wako

Usisahau unawatumishi wanapofanya kazi pia weka na maitaji Yao ikiwezekana weka na mikataba ya watumishi wako, bill za mafuta na maitaji ya kila siku kuwakumbusha gharama unazoingia wakati mradi umesimama pasipo termination hii utawasaidia kujua unajua haki zako wachina wanapata fedha nyingi kwenye Miradi Kwa sababu wanatumia sheria kupata fedha , tumia sheria zilizoko kwenye mikataba kudaia haki zako

Usitumia urafiki wakati mwingine unaweza kuwatishia kuwafikisha mahakamani au NCC juu ya madai yako ili wajue unajua sheria lakini kama hauna wataalamu tafuta wakuandalia madai kitaalamu ili hao unaofanya nao kazi wajue unajua sheria nje ya hapo utasumbuka Sana

Hakikisha madaia yako yaliyochelewa yanakwenda na

A.interest
B. Claim
 
Pakuwepo na ukandamizajj Sana walipo kwa Wakandaras wazawa kutonufaika kwa kazi halali wanazofazofanya katika sekta zote hii yote inatokana na watanzania waliopewa dhamana usimamizi katika idara husika wapopata bakhashishi wanasau kuwa Kuna watanzania wenzao wanataabika si rea wakandarasi wao wanatoka nje kuwa wanauwezo wa kufanya kazi wakati kazi kubwa za kusambaza umeme vijijini zinafanywa kwa asilimia 98 zifanywa na kampun ndogo za kitanzania kwa weledi mkubwa hao wapewa hata site huwa hawafiki Wala hazijui zimekaaje wao ni sim hata hoa jocho la rea hajui miradi hawaju mradi uko vizuri kwa asilimia ngapi hawatembelei site yaan baad ya miaka 10 tutashudia vituko umefika wakati wazimin kampuni ndogo za kitanzania kufanya kazi ndani yao na pesa za miradi kubaki nchini , kampun mdogo za ukandarasi wa umeme zinanyasika Sana wakati wanaujuzi mkubwa Sana kuliko hao wanaominiwa na selikali kampuni ya nnje.hata kujaza tenda.anashindwa tuwajazia sisi wenyewe tunaokena vilaza na wanapata kazi wananza tunyanyasa wakilikiana na watumishi wa rea wasiokuwa waminifu kwa watanzania wenzao kwa 10%wazopewa wakuwa wamenuliwa na wageni tanesco hivyo hivyo urasimu usioelezeka nnchi sijuo tumerogwa na Nani? Hatuna uzalendo kabisa wakusaidiana kabisa
 
Ah ! Katibu mkuu Daniel chongoro naona Kama waziri makatibu wakuu wa wizara ilan ya chama yenye kurasa 303 imeongelea Mambo Mambo juu wa wantazani Kuna Mambo yanayofanyika ayakisi kabisa Iran yetu ccm watu wanajituma.kuijenga inch.yako.kinatokea kikundi Cha watu wachache kinawalinda watu waovu ndani.ya selikali saidie wananchi wanatumia nguvu zao siwasaidie kuendesha maisha na familia yao
 
Mimi sio mtu wa mitandao sana lakini nimeona malalamiko kadhaa yanayoandikwa na Jamii Forums kuhusu mambo mbalimbali yanafanyiwa kazi hasa kuhusu huku kwenye shughuli zetu tunazozifanya kwenye miradi.

Mimi ni mmoja wa Wakandarasi wadogo ambao tumekuwa tukifanya kazi na Mkandarasi Mkuu wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, Kampuni ya Yapi Merkezi tangu Februari 2022.

Hadi kufikia leo naandika andiko hili, kupitia Kampuni ya Mzamiru Development Ltd namdai Mkandarasi huyo kiasi cha Tsh. Milioni 440 (fedha za Kitanzania), nimekuwa nikidai malipo yangu tangu Januari, Mwaka huu (2023) lakini nazungushwa kulipwa.

Nilianza kufanya nao kazi kuanzia Lot 1 (awamu ya kwanza), nawakodisha magari ya maji yanayotumika kwenye mradi, ikaendelea hivyo pia Lot 2.
View attachment 2778659
Nimeambatanisha na sample ya mkataba wa ukodishaji vifaa.

Huko siku za nyuma nilikuwa nalipwa japo sio katika kiwango ambacho tumekubaliana, mfano unaweza kudai Milioni 100 lakini wakakupa Milioni 10 na kuahidi kuendelea kukulipa baada ya muda.

Utaratibu tuliowekeana ni kuwa kila mwezi tunatakiwa kulipwa kiasi fulani, lakini ilipofika mwezi wa kumi na mbili mwaka jana (2022) ndipo malipo yalipoanza kukwama.

Mpaka sasa naendelea nao kwenye Awamu ya Tatu yaani Lot 3, hakuna malipo na magari yangu niliyowakodisha bado yapo kwenye kazi.

Nimesumbuka sana kufuatilia malipo yangu lakini sioni dalili za kulipwa, hofu yangu ni kuwa inawezekana mambo yakawa magumu zaidi siku za mbele hivyo kunipa hasara kubwa.

Naomba Serikali isaidie watu kama sisi ambao ni Wakandarasi tunaopambana kujiweka kwenye mstari, kwani mtaji wangu niliowekeza hapo haunisaidii peke yangu, kuna Watanzania wenzangu wengi wanaofaidika kupitia ajira hiyo.
Sasa itakuwaje?
 
Pole sana mkandarasi.
Inavyoelekea Yapi Merkezi nao hawajalipwa, tatizo liko kwa mfadhili wa mradi, Serikali yetu tukufu.
Serikali haina hela!
 
Unajuwa hapo kuna tatizo, tunalisikiliza upande mmoja tu.

Anasema hajalipwa toka mwaka jana, lakini cha kushangaza anasema bado gari zake zipo kazini.

Anafanyaje hiyo kazi bila malipo muda wote huo?

Mwamba ngoma huvutia kwake.
Miradi kama hiyo, Main Contractor mwenye Tax Exemption Relief ananunua vifaa vyote , pamoja na mafuta.
Sub Contractor yeye huweka mafuta tu kwenye mitambo na kuendelea na kazi.
 
Serikali yako haipeleki tena pesa kwa Yapi kama tu wewe unavyocheleweshewa chako!
 
Pole sana ndugu. Kwanza angalia vifungu vya kumaliza mkataba wenu, kama delayed payment itakuwa ni moja ya sababuhi za kusitisha mkataba basi fuata utaratibu wa vifungu hivyo kama vile kutoa notice ya kusudio. Baada ya hapo sitisha huduma.
Ukiendelea kutoa huduma while hawakulipi itafika kipindi utashindwa kwani unatakiwa uya mainten hayo magari na ukishindwa ku-mainten itaonekana wewe ndiyo umekiuka mkataba.
After that fuata taratibu za kisheria za madai (adjudication, arbitration, court of law) kulingana na mkataba wenu. Njia hii itakupa usalama wa kukamata mali zake kama akitaka kusepa.
Yapi wanaweza kuwa ali draft mkataba wa kijanjanja dhidi yako, hilo lisikutishe kwani kwenye mkataba wako mkuu una haki sawa nayeye. Unaweza muandikia client (TRC) na kumpa copy Yapi ili uweze kupitia hiyo copy ya mkataba mkuu. TRC anataharifa zako kwani mkataba mkuu unamtaka apeleke taharifa zako kabla hamjaingia naye mkataba.
Yapi anakabiliwa na financial criss kutokana na malimbikizo ya madeni yake (pesa ya kumlipa inayumba).
 
Mimi sio mtu wa mitandao sana lakini nimeona malalamiko kadhaa yanayoandikwa na Jamii Forums kuhusu mambo mbalimbali yanafanyiwa kazi hasa kuhusu huku kwenye shughuli zetu tunazozifanya kwenye miradi.

Mimi ni mmoja wa Wakandarasi wadogo ambao tumekuwa tukifanya kazi na Mkandarasi Mkuu wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, Kampuni ya Yapi Merkezi tangu Februari 2022.

Hadi kufikia leo naandika andiko hili, kupitia Kampuni ya Mzamiru Development Ltd namdai Mkandarasi huyo kiasi cha Tsh. Milioni 440 (fedha za Kitanzania), nimekuwa nikidai malipo yangu tangu Januari, Mwaka huu (2023) lakini nazungushwa kulipwa.

Nilianza kufanya nao kazi kuanzia Lot 1 (awamu ya kwanza), nawakodisha magari ya maji yanayotumika kwenye mradi, ikaendelea hivyo pia Lot 2.
View attachment 2778659
Nimeambatanisha na sample ya mkataba wa ukodishaji vifaa.

Huko siku za nyuma nilikuwa nalipwa japo sio katika kiwango ambacho tumekubaliana, mfano unaweza kudai Milioni 100 lakini wakakupa Milioni 10 na kuahidi kuendelea kukulipa baada ya muda.

Utaratibu tuliowekeana ni kuwa kila mwezi tunatakiwa kulipwa kiasi fulani, lakini ilipofika mwezi wa kumi na mbili mwaka jana (2022) ndipo malipo yalipoanza kukwama.

Mpaka sasa naendelea nao kwenye Awamu ya Tatu yaani Lot 3, hakuna malipo na magari yangu niliyowakodisha bado yapo kwenye kazi.

Nimesumbuka sana kufuatilia malipo yangu lakini sioni dalili za kulipwa, hofu yangu ni kuwa inawezekana mambo yakawa magumu zaidi siku za mbele hivyo kunipa hasara kubwa.

Naomba Serikali isaidie watu kama sisi ambao ni Wakandarasi tunaopambana kujiweka kwenye mstari, kwani mtaji wangu niliowekeza hapo haunisaidii peke yangu, kuna Watanzania wenzangu wengi wanaofaidika kupitia ajira hiyo.
pambana kabla hawajaondoka, manake
 
Kumbe anajuwa anachokifanya. Afate ngazi za kusikilizwa tatizo lake.

Kwa hilo tatizo lake JF haitakuwa na msaada mkubwa kwake, watu watasoma na kulielew tu kuwa lipo lakini hakuna ataechukuwa hatua kupitia mtandaoni.
faiza chochote kikifanywa na serikali ya........, unatetea hata kama hakina maana. una tatizo gani?
 
Back
Top Bottom