Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 286
- 597
Pole sana na changamoto za kibiashara Ila kuna vitu unatakiwa kufanya, wakati mwingine inabidi ujue haki zako nacho jua kuna kipengele cha malipo kwamba lazima ulipwe ndani ya siku 28 tangy malipo kupata approval kama unatumia Sheria za PPRA
Tumia hicho kigezo na kile cha kudai interest kama unachelewa kupata malipo yako , Kwa kuonyesha unapocheleweshewa malipo fedha yako inaathirika na kukosa thamani omba interest Kwa kutumia vifungu vya sheria vilivyoko kwenye mkataba wako
Usisahau unawatumishi wanapofanya kazi pia weka na maitaji Yao ikiwezekana weka na mikataba ya watumishi wako, bill za mafuta na maitaji ya kila siku kuwakumbusha gharama unazoingia wakati mradi umesimama pasipo termination hii utawasaidia kujua unajua haki zako wachina wanapata fedha nyingi kwenye Miradi Kwa sababu wanatumia sheria kupata fedha , tumia sheria zilizoko kwenye mikataba kudaia haki zako
Usitumia urafiki wakati mwingine unaweza kuwatishia kuwafikisha mahakamani au NCC juu ya madai yako ili wajue unajua sheria lakini kama hauna wataalamu tafuta wakuandalia madai kitaalamu ili hao unaofanya nao kazi wajue unajua sheria nje ya hapo utasumbuka Sana
Hakikisha madaia yako yaliyochelewa yanakwenda na
A.interest
B. Claim