Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Clip za uzushiTusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.
Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde inchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndungu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanna.
CDFKwani huyo mafwele amekuwa nani Tanzania
Iko post # 12Sijaiona hiyo clip ila kama ipo, that is grand mistake kwa huyo aliyetangaza hizo habari. Nakubaliana na wewe.
Polepole alisema kama haina mwenye nayo Polepole alikua anamsha bongo lalaIla yanayoendelea ..... kazi ipo
Nadhani hata polisi wapo wasiokubaliana na hayo. Kwenye maelezo yake wapo maafisa wawili wa polisi pia wamekamatwaHaitasaidia kitu. Kuna kundi kubwa la wanajeshi hawafurahishwi na haya mauzauza yanayoendelea nchini! Polisi wameungana na watawala kuwanyanyasa raia wasio na hatia! Hali hii kama itaendelea, basi kuna dalili zote za kutokea uasi siku zijazo.
Kama yule Komandoo wa kesi ya Ugaidi ya TAPELI FAM alining'inizwa kama Mshikaki na Polisi unategemea nini ?Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.
Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde inchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndungu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanna.
Haya maandamano kuna watu wanayachulia kwa masihara na kejeli! Ila ukweli ni kwamba, kuna watu wanasubiri tu kinuke ili hatua nyingine zichukuliwe.Nadhani hata polisi wapo wasiokubaliana na hayo. Kwenye maelezo yake wapo maafisa wawili wa polisi pia wamekamatwa
Kama chanzo ni yeye basi masela wa DAR mnazinguaKwa mafwele mwenyewe mkuu
Hii kweli sauti ya mafwele namfahamu vizuri, Mafwele sio polisi tu tafuteni cv yake PHQ kasomesomeshwa sana na serikali nje tena easten europe nchi zaidi ya 4 na china kusomea crack down methodolody and crisis shotdown anaysis and approach , cou deterent na mass protest crack down methodolody and scenario analysis
badala ya kukaa unajisemesha tu"polisi wameungana na watawala"jiulize hiyo sauti karekodi mwanajeshi wa wapi???Haitasaidia kitu. Kuna kundi kubwa la wanajeshi hawafurahishwi na haya mauzauza yanayoendelea nchini! Polisi wameungana na watawala kuwanyanyasa raia wasio na hatia! Hali hii kama itaendelea, basi kuna dalili zote za kutokea uasi siku zijazo.
Hii kweli sauti ya mafwele namfahamu vizuri, Mafwele sio polisi tu tafuteni cv yake PHQ kasomesomeshwa sana na serikali nje tena easten europe nchi zaidi ya 4 na china kusomea crack down methodolody and crisis shotdown anaysis and approach , cou deterent na mass protest crack down methodolody and scenario analysis
Kuna moja Muliro kasema "we only die once not twice"."ukishakamatwa hakuna maisha" 🤔🤔🤔
salute 29 tukutane
Mpaka muda huu nimesikia na kuyashuhudia matamko mengi ya vitisho kutoka polisi, kwenda kwa raia waliotangaza kuandamana hiyo tarehe 29! Na huu ndiyo ukweli mchungu kwenu. Nyinyi polisi mlio wengi ni snitch!badala ya kukaa unajisemesha tu"polisi wameungana na watawala"jiulize hiyo sauti karekodi mwanajeshi wa wapi???
kwanini isiwe kwamba askari yeyote bila kujali jeshi anawezakuwa upande wa utawala au wananchi??
au hamuoni kwamba kuna magari ya jeshi yanazurula mtaani??hawa ni hao hao mnaosema wako na wananchi au??
Mafwele anaogopwa hadi na SSH mwenyewe.. Ni killing machineKwani huyo mafwele amekuwa nani Tanzania
Hio clip inaonekana imevujishwa.
salute 29 tukutane