AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Duuuh umesoma vizuri nilichokiandika vizuri kabila ya kujibu kisha angalia ulichokiandikaUnaulizi,a sheria????
Mna vichwa vimeoza kweli??
Watu wanaotekwa na kuuawa au kina Heche wako Mahabusu kwa sheria gani???
Nikuulize wewe;Hao polisi wanacho cheti cha kujihusisha na siasa?Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.
Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndugu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanne.
HahahaJeshi gani😅😅😅😅😅
Mafwele amebaki kuwafira tu, maana hawajitambui.
Mafwele ana majukumu ya kitaifa?
Wewe ndiye mafwele, au ni mtu wako wa karibu?Habari ya uongo hii ,kila siku mafwele kila siku yeye kila kosa yeye tu kila baya yeye, mwacheni aishi maisha yake aisee
USSR
kwahiyo sababu ya wanajeshi huyasikii basi hawana usnitch😂😂.Mpaka muda huu nimesikia na kuyashuhudia matamko mengi ya vitisho kutoka polisi, kwenda kwa raia waliotangaza kuandamana hiyo tarehe 29! Na huu ndiyo ukweli mchungu kwenu. Nyinyi polisi mlio wengi ni snitch!
Chief. Huwa nakuaminia kama mtu mwerevu sana humu. Ulichokiandika kinaonyesha hata hujaelewa wasilisho langu. Mie sio mjinga kama ulivyotamka bossNikuulize wewe;Hao polisi wanacho cheti cha kujihusisha na siasa?
Unapojiziba akili namna hii unakuwa kama mtu mjinga.
hahahahah we ni mafwele mkuuiHabari ya uongo hii ,kila siku mafwele kila siku yeye kila kosa yeye tu kila baya yeye, mwacheni aishi maisha yake aisee
USSR
Duniani mtu hutajwi kwa bahati mbaya, watu hawaamki kutoka usingizi na kukutaja ovyo, lisemwalo lipo...Habari ya uongo hii ,kila siku mafwele kila siku yeye kila kosa yeye tu kila baya yeye, mwacheni aishi maisha yake aisee
USSR
Ni mtu wa "falsafa 'abstract'" huyo. Whatever that means!Leta ya ukweli uliyonayo
Unao ushahidi kuonyesha ni ya "mchongo"?First thibgs first.
Hiyo audio imeihakikisha ni ya Mafwele kweli na si ya mchongo?
Wamebandika bila ridhaa kisa wao ni wapangaji basi yule jamaa asiejua kuongea vizuri anasema kwamba wamefanya kosa kubandua mabangoKume hawa watu ni wapumbavu kiasi hiki!! Hao waliobandika bango kwente nyumba ya mtu bila ya ridhaa ya mwenye nyumba ndiyo wana hatia. Sheria ya uchaguzi inawaelekeza wagombea na vyama vya siasa kutoweka bango la kampeni za uchaguzi sehemu yoyote ile ya mtu au kampuni bila ya kupata rudhaa ya mmiliki.