Kwamba Simba hakufunguliwa lango la uwanja na kufanyiwa fujo na "makomandoo"Nani kakuambia mechi imeahirishwa kwa sababu hiyo?Rejea Bodi ya Ligi walitoa sababu ipi ya kuahirisha mechi.
Hii nchi ina mambo mengi ya msingi ya kujadili kuliko ushabiki maandazi wa hizi timu!Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana
1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,
2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka
3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia
4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football
5. Alitikana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupiga final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe
6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake
Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF
Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua
Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani
Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Vipi kuhusu mabaunsa wa Yanga. Aliwakodi!?Alipigwa simu ili kuikwepesha Simba kipigo mara ya 5 mfululizo kutoka Kwa Yanga
Inahitaji common sense kuelewa ni wahuni walichonga mchongo wa kughairisha mechi.Vipi kama barua ya kususia mechi iliandikwa hata kabla hawajaenda uwanjani?
Vipi kama walienda uwanjani ili kujazia vielelezo kukidhi mpango wao wa kutocheza mechi?
Barua yao waliweka wazi kuwa hawatacheza mpaka pale uchunguzi utakapofanyika na wahuni kuchukuliwa hatua,je, uchunguzi umeshatoka na adhabu imesha tolewa?
Nini kinawavutia Simba kucheza na Yanga wakati dai lao halijatekelezwa?
Kwa mantiki hii hakutakuwa na mtu katika hizo nafasi, maana lazima awe Simba au Yanga. Nyinyi mnatakiwa kucheza tu hiyo mechi acheni kuruka ruka na visingizio kibao.Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana
1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,
2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka
3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia
4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football
5. Alitikana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupiga final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe
6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake
Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF
Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua
Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani
Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Simba alikataa kucheza Game kabla Bodi ya Ligi hajahairisha mchezo rasmi. Kuwa muelewa dogo acha ubishi wa ajabu. Hoja waliyoshikilia Simba ilikuwa ni kutoruhusiwa kufanya mazoezi.Nani kakuambia mechi imeahirishwa kwa sababu hiyo?Rejea Bodi ya Ligi walitoa sababu ipi ya kuahirisha mechi.
Hauna akili.Alipigwa simu ili kuikwepesha Simba kipigo mara ya 5 mfululizo kutoka Kwa Yanga
Ndie yeyeKwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana
1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,
2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka
3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia
4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football
5. Alitikana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupiga final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe
6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake
Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF
Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua
Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani
Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Hili jukwaa la sports unafanya nini?Bora nimetoka Huku kwenye utoto wa SIMBA na YANGA.
JF ina majukwaa ya Maana Mno
Kuna Majukwaa ukipitia vizuri kabisa Unakuwa Bilionea.
Wewe hata wakupe dawa gani huwezi kuponaBora nimetoka Huku kwenye utoto wa SIMBA na YANGA.