Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

Simba na Yanga wanajuana. Kama humu jukwaani tu tunajuana, unadhani wanaoenda viwanjani na kukaa magetini hawajuani?
Unajua protocol za escort ya polisi ?
Unajua kuwa hakuna mtu wa kuzuia escort ya polisi?
Au hujui basi la Simba linasindizwa na police, kwenda na kurudi uwanjani

Kwaiyo hao polisi walirudi nyuma na kuwakimbia makondo?
 
Angalia picha mjongeo zilizopo mitandaoni zitakupa majibu ya hayo maswali yako.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
P

Premach meeting'imefanyika lini?, Leo ni tarehe 12 baada ya saa 2 usiku, kesho ni tarehe 13 juni 2025, dabi tumetangaziwa na TFF itachezwa tarehe 15-06-2025
Ficha ujinga.Prematch hufanyika siku moja kabla ya mechi.Utakuwa unajua tarehe.
 
Jamaa alikuwa jela au alikuwa kwenye coma?Sio kwa maswali hayo.
Ukimjibu akiona hana come back anarukia angle nyingine. Akishindwa kabisa anaanzisha uzi mwingine wa mada hiyo hiyo akiwa na mtazamo ule ule. Nimeshamzoea!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Yule arudi kuimba tu sema mimi sasahivi nahasira sana. Hivi kweli Raisi anaiongozaje hii nchi mbona deni linakuwa kubwa kila siku.
Wale wataalamu wa haya mambo athari yake itakuwaje km likizidi sana au ndio tutasamehewa siku zambele.
Isije ikafkia hatua kukopa haiwezekani afu inatkiwa tulipe zilizokopwa ambazo hazikuwekezwa kwenye mradi hata mmoja unaweza kujilipia deni
 
Nlikuaga shabiki no 1 wa mwana FA, Album zake nlinunua toka mwaka 2003, ila siku alivyogombana na Jide hadi show yake kubuma nlimdharau hadi kesho naendelea sikiza "haina fagio" ila siwezi mfagilia mwanaume kaptura.
 
Hii ndio tanzania yetu.........asomee uchumi kaekwa kwenye michezo........ ...ndio utauona utamu wake
 
Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF

Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana

1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,

2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka

3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia

4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football

5. Alitukana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupigwa final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe

6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake

Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF

Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua

Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani

Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Huyu anafaa kabisa kuwa waziri wa hii wizara
 
Akimuondoa amteue Mzee Magoma kuwa mbunge halafu amteue kuwa naibu waziri kushika nafasi ya Mwana FA.
 
Back
Top Bottom