Wanyambo mna akili sana!Alipigwa simu ili kuikwepesha Simba kipigo mara ya 5 mfululizo kutoka Kwa Yanga
Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana
1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,
2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka
3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia
4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football
5. Alitikana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupiga final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe
6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake
Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF
Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua
Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani
Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Premach meeting'imefanyika lini?, Leo ni tarehe 12 baada ya saa 2 usiku, kesho ni tarehe 13 juni 2025, dabi tumetangaziwa na TFF itachezwa tarehe 15-06-2025Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana
1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,
2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka
3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia
4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football
5. Alitikana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupiga final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe
6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake
Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF
Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua
Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani
Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Anaweza kuwa MwanaFA ila kwa sababu mna nia ya kupotosha hamtaki kusema alitoa hiyo amri katika muktadha gani.Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana
1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,
2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka
3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia
4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football
5. Alitikana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupiga final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe
6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake
Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF
Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua
Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani
Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Yani Kwa akili zako Kuna kikundi cha kuzuia Simba kuingia uwanjani?Anaweza kuwa MwanaFA ila kwa sababu mna nia ya kupotosha hamtaki kusema alitoa hiyo amri katika muktadha gani.
Embu "tuwaze" zaidi. Simba imefika uwanja wa Mkapa kufanya mazoezi, ikazuiwa getini wanaosemekana ni walinzi wa uwanja wa Yanga. Meneja akapigiwa simu, akaja, alipotaka kufungua geti watu walio getini wakaendelea kuzuia Simba isiingie. Polisi wakaona hali inaweza kuwa mbaya zaidi hata wakilazimisha Simba iingie ifanye mazoezi. Wakapigiwa Bodi ya Ligi na TFF, nao wakakosa ufumbuzi wa haraka. Akapigiwa huyo kiongozi wa serikali kushauriana nini cha kufanya, akatoa ushauri kwamba kuepusha shari kamili geti lisifunguliwe. Simba ikapewa hiyo taarifa wakaondoka.
Unadhani hili ndiyo kinaweza kuwa kimetokea na kama ndiyo, unadhani huyo kiongozi ana la kulaumiwa hapo?
Vithibitisho vipo vikionyesha Simba ikipewa vitisho na wahuni wa nyuma mwiko. Escort ya Polisi iliondoka baada kufika getini na kuona geti halifunguliwi na hali inazidi kuwa mbaya.Yani Kwa akili zako Kuna kikundi cha kuzuia Simba kuingia uwanjani?
Yaani hata polisi watii Amri ya waharifu wawambie Simba warejee walipotoka Kwa kuwa hamna amani
Yaani Simba yenye escort ya polisi izuie kuingia uwanjani na komando
Yes hata mimi namuhisi huyo huyo ana mahaba sana na simba hadi anasahau kama yeye ni kiongozi sasa matokeo yake ligi inakufaKwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana
1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,
2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka
3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia
4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football
5. Alitikana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupiga final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe
6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake
Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF
Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua
Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani
Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Hao wote walikuwa watu wa Simba kujizuia na kupata sababu ya kukimbia mechiVithibitisho vipo vikionyesha Simba ikipewa vitisho na wahuni wa nyuma mwiko. Escort ya Polisi iliondoka baada kufika getini na kuona geti halifunguliwi na hali inazidi kuwa mbaya.
Naweza kuungana na wewe kwamba Polisi na mamlaka za Usalama wangeweza kabisa kudhibiti hali usiku ule ila sicho walichofanya.
Duuh. Ni jambo linalojulikana na yoyote anayejua mpira wa nchi hii kuwa walinzi hasa wa timu mwenyeji huwa wanalinda uwanja kabla ya derby, tena huwa ni kwa siku kadhaa kabla ya mechi.Hao wote walikuwa watu wa Simba kujizuia na kupata sababu ya kukimbia mechi
Haiko ivo hiyo ilikuwa agenda ya serikali na SimbaDuuh. Ni jambo linalojulikana na yoyote anayejua mpira wa nchi hii kuwa walinzi hasa wa timu mwenyeji huwa wanalinda uwanja kabla ya derby, tena huwa ni kwa siku kadhaa kabla ya mechi.
Msingeshiriki zoezi la kuwa pale getini ningekubaliana na wewe. Ukiiweka na Yanga kama sehemu ya hiyo agenda naweza kufikiria kukubaliana na wewe.Haiko ivo hiyo ilikuwa agenda ya serikali na Simba
Hakuna mtu wa kuzuia Yanga na Simba kuingia uwanjani hapa Tanzania
Nasikia kati hao 2 mmoja ni mume mwinginw nke.....Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana
1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,
2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka
3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia
4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football
5. Alitukana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupigwa final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe
6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake
Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF
Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua
Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani
Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Simba na Yanga wanajuana. Kama humu jukwaani tu tunajuana, unadhani wanaoenda viwanjani na kukaa magetini hawajuani?Una uhakika Gani kwamba Yanga alikuwa getini?
Mkuu huwa hupindishi nyeupe unaiita nyeupe.Nyeusi husemi ni bluu.Big up.Chuki za vijijini mnazileta kwenye kazi mtu wa Simba apige simu Timu yake isifanye mazoezi tena..