Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

Yaani hoja hii muflis kwako kama ni ngumu basi hata kuvuka barabara kwako ni bahati tu.Ni miujiza unarudi vipi nyumbani au unasaidiwa?
Kiherehere kimewapanda mrembo
Acha shobo
 
Nani kakuambia mechi imeahirishwa kwa sababu hiyo?Rejea Bodi ya Ligi walitoa sababu ipi ya kuahirisha mechi.
Kwamba Simba hakufunguliwa lango la uwanja na kufanyiwa fujo na "makomandoo"
Kumbuka hiyo ni siku ya mazoezi, yaani masaa 24 kabla ya mechi,ni kigezo gani kilicho tumika kuahirisha mechi?
Rejea mechi ya JKT vs Singida BS
 
Hii nchi ina mambo mengi ya msingi ya kujadili kuliko ushabiki maandazi wa hizi timu!
 
Inahitaji common sense kuelewa ni wahuni walichonga mchongo wa kughairisha mechi.
 
Kwa mantiki hii hakutakuwa na mtu katika hizo nafasi, maana lazima awe Simba au Yanga. Nyinyi mnatakiwa kucheza tu hiyo mechi acheni kuruka ruka na visingizio kibao.
 
Nani kakuambia mechi imeahirishwa kwa sababu hiyo?Rejea Bodi ya Ligi walitoa sababu ipi ya kuahirisha mechi.
Simba alikataa kucheza Game kabla Bodi ya Ligi hajahairisha mchezo rasmi. Kuwa muelewa dogo acha ubishi wa ajabu. Hoja waliyoshikilia Simba ilikuwa ni kutoruhusiwa kufanya mazoezi.

Mwanzo Bodi waliona hoja ya kiouuzi ndo maana asubuhi wakasisitiza mechi ipo. Baada ya kuingizwa mkenge na TFF wakaamua kuhairisha mechi. Simba ikadai hawatacheza tena hadi ripoti itakapotolewa na wahusika kuchukuliwa hatua.

Hiyo ripot iko wapi? Wahusika gani wamechukuliwa hatua hadi Simba aendelee kushiriki mechi?
 
Hii mechi ichezwe tu, simba wapigwe goli zao 5 waende wakalale.🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Ndie yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…