Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

Acha hizo bro. Baki kwenye utani wa soka
Huyo usiwaze tunaenda nae sambamba...watu wasiojiamini ndo huwa wana kuja na hoja za kipuuzi za ku attack ili wakutoe kwny reli......yani anakupa jina au sifa ambayo huna..sasa watu wa hivyo mm huwa naenda nao sako to bako...
 
Ila achana naye tu, haina haja ya kujibizana naye. Mimi nikiona mtu ananifuatafuata na kila akiniquote anafanya personal attack, namblock na namsahau kama yupo dunia hii.
 
Muda mwingine tunachangamsha na kupoteza muda mkuu...kuna muda nakua sina cha kufanya...kuna siku napotea huku hata wiki nikiwa busy.....any way ushauri mzuri...
 
Sio mwenye saini ya kwenye pesa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…