Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

Alipigwa simu ili kuikwepesha Simba kipigo mara ya 5 mfululizo kutoka Kwa Yanga
Wanyambo mna akili sana!

Mwana Fa hakutaka aibu tena ya 5imba kukandamizwa 5 tena! 5imba first 11 karibu yote ilikuwa majeruhi...Maana Tar 8 ile siku 5imba kwa Yanga ingekuwa kama demu wa masela!

Wamenunua point kwa marefa saa hii wana jeuri ya kuomba derby!
 
Tulipoacha kusisitiza matumizi ya condoms ndo Taifa lilianza kupata hasara maana zilitolewa tu na kuja sababisha watoto telekezwa
 
Reactions: Tui
P
Premach meeting'imefanyika lini?, Leo ni tarehe 12 baada ya saa 2 usiku, kesho ni tarehe 13 juni 2025, dabi tumetangaziwa na TFF itachezwa tarehe 15-06-2025
 
Anaweza kuwa MwanaFA ila kwa sababu mna nia ya kupotosha hamtaki kusema alitoa hiyo amri katika muktadha gani.

Embu "tuwaze" zaidi. Simba imefika uwanja wa Mkapa kufanya mazoezi, ikazuiwa getini wanaosemekana ni walinzi wa uwanja wa upande wa Yanga. Meneja akapigiwa simu, akaja, alipotaka kufungua geti watu walio getini wakaendelea kuzuia Simba isiingie na Meneja asiwafungulie geti. Polisi wakaona hali inaweza kuwa mbaya zaidi hata wakilazimisha Simba iingie ifanye mazoezi. Wakapigiwa Bodi ya Ligi na TFF, nao wakakosa ufumbuzi wa haraka. Akapigiwa huyo kiongozi wa serikali kushauriana nini cha kufanya, akatoa ushauri kwamba kuepusha shari kamili geti lisifunguliwe. Simba ikapewa hiyo taarifa wakaondoka.

Unadhani hili ndiyo kinaweza kuwa kimetokea na kama ndiyo, unadhani huyo kiongozi ana la kulaumiwa hapo?
 
Yani Kwa akili zako Kuna kikundi cha kuzuia Simba kuingia uwanjani?

Yaani hata polisi watii Amri ya waharifu wawambie Simba warejee walipotoka Kwa kuwa hamna amani

Yaani Simba yenye escort ya polisi izuie kuingia uwanjani na komando
 
Vithibitisho vipo vikionyesha Simba ikipewa vitisho na wahuni wa nyuma mwiko. Escort ya Polisi iliondoka baada kufika getini na kuona geti halifunguliwi na hali inazidi kuwa mbaya.

Naweza kuungana na wewe kwamba Polisi na mamlaka za Usalama wangeweza kabisa kudhibiti hali usiku ule ila sicho walichofanya. Inawezekana hawakujiandaa ndiyo maana yakaja maamuzi kuwa ni heri geti lisifunguliwe tu.
 
Yes hata mimi namuhisi huyo huyo ana mahaba sana na simba hadi anasahau kama yeye ni kiongozi sasa matokeo yake ligi inakufa
 
Hao wote walikuwa watu wa Simba kujizuia na kupata sababu ya kukimbia mechi
 
Hao wote walikuwa watu wa Simba kujizuia na kupata sababu ya kukimbia mechi
Duuh. Ni jambo linalojulikana na yoyote anayejua mpira wa nchi hii kuwa walinzi hasa wa timu mwenyeji huwa wanalinda uwanja kabla ya derby, tena huwa ni kwa siku kadhaa kabla ya mechi.
 
Duuh. Ni jambo linalojulikana na yoyote anayejua mpira wa nchi hii kuwa walinzi hasa wa timu mwenyeji huwa wanalinda uwanja kabla ya derby, tena huwa ni kwa siku kadhaa kabla ya mechi.
Haiko ivo hiyo ilikuwa agenda ya serikali na Simba
Hakuna mtu wa kuzuia Yanga na Simba kuingia uwanjani hapa Tanzania
 
Haiko ivo hiyo ilikuwa agenda ya serikali na Simba
Hakuna mtu wa kuzuia Yanga na Simba kuingia uwanjani hapa Tanzania
Msingeshiriki zoezi la kuwa pale getini ningekubaliana na wewe. Ukiiweka na Yanga kama sehemu ya hiyo agenda naweza kufikiria kukubaliana na wewe.
 
Msingeshiriki zoezi la kuwa pale getini ningekubaliana na wewe. Ukiiweka na Yanga kama sehemu ya hiyo agenda naweza kufikiria kukubaliana na wewe.
Una uhakika Gani kwamba Yanga alikuwa getini?
 
Nasikia kati hao 2 mmoja ni mume mwinginw nke.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…