Unajua protocol za escort ya polisi ?Simba na Yanga wanajuana. Kama humu jukwaani tu tunajuana, unadhani wanaoenda viwanjani na kukaa magetini hawajuani?
Angalia picha mjongeo zilizopo mitandaoni zitakupa majibu ya hayo maswali yako.Unajua protocol za escort ya polisi ?
Unajua kuwa hakuna mtu wa kuzuia escort ya polisi?
Au hujui basi la Simba linasindizwa na police, kwenda na kurudi uwanjani
Kwaiyo hao polisi walirudi nyuma na kuwakimbia makondo?
Ficha ujinga.Prematch hufanyika siku moja kabla ya mechi.Utakuwa unajua tarehe.P
Premach meeting'imefanyika lini?, Leo ni tarehe 12 baada ya saa 2 usiku, kesho ni tarehe 13 juni 2025, dabi tumetangaziwa na TFF itachezwa tarehe 15-06-2025
Jamaa alikuwa jela au alikuwa kwenye coma?Sio kwa maswali hayo.Angalia picha mjongeo zilizopo mitandaoni zitakupa majibu ya hayo maswali yako.
Ukimjibu akiona hana come back anarukia angle nyingine. Akishindwa kabisa anaanzisha uzi mwingine wa mada hiyo hiyo akiwa na mtazamo ule ule. Nimeshamzoea!Jamaa alikuwa jela au alikuwa kwenye coma?Sio kwa maswali hayo.
Mjinga utakuwa ni wewe ambaye huwezi kusoma alama za nyakati, (lack of social inferences)Ficha ujinga.Prematch hufanyika siku moja kabla ya mechi.Utakuwa unajua tarehe.
Mkuu upo sahihi kabisa . Kuna jukwaa la kiroho napitq na Setfree kiasi kwamba nahisi nitaingia mbinguni soon.Bora nimetoka Huku kwenye utoto wa SIMBA na YANGA.
JF ina majukwaa ya Maana Mno
Kuna Majukwaa ukipitia vizuri kabisa Unakuwa Bilionea.
Mimi Yanga lakini jamaa anatengenezewa zengwe tu ambalo halipo..Mkuu huwa hupindishi nyeupe unaiita nyeupe.Nyeusi husemi ni bluu.Big up.
I warned you Litle Rat dont play with me.Acha kiherehere mrembo
Little......and not litleI warned you Litle Rat dont play with me.
Huyu anafaa kabisa kuwa waziri wa hii wizaraKwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia mashaka na kishabiki sana
1. Huyu ni shabiki na mwanachama wa Simba,
2. ukaribu wake na Rais wa TFF ambaye wote wanatokea Tanga unatupa mashakaka
3. Matamko yake kusema ati Yanga na Simba ni maasimu wakati sisi Huwa tunasema sisi ni watani wa jadi
Labda kama uhasimu anataka kuuleta yeye na TFF ya Karia
4. Kutangazia bunge kuwa derby ipo June 15
Katikati ya migogoro ya Yanga na bodi ya ligi, haikuwa busara Kwa kiongozi wa serikali kutangazia umma na Dunia kuwa derby ipo wakati akijua YANGA ana madai yake pale TFF na bodi ya Ligi
Huyu ndo kiongozi wa serikali anayeingilia mambo ya football
5. Alitukana viongozi wa CAF matusi baada ya Simba kupigwa final ya CAFCC
Huyu kiongozi aliyetukana viongozi wa CAF na waamuzi, hajui mipaka yake kwamba football inatakiwa ijiendeshe.
Ule ulikuwa upotokaji mkubwa nadhani Ile video na andiko lake likifika FIFA tunafungiwa
Kwa tabia hii unanipa mashaka kuwa ndo alipigwa simu geti lisifunguliwe
6 Kudanganya umma kuwa final ingechezwa Mkapa
Anadhani anavoamrisha akina na Mguto kufunga geti, angeamrisha watu wa CAF wenye weledi kuendesha na matamko yake
Mwana FA ameonekana ni kiongozi asiyetaka suluhu ya huu mgogoro wala kutojali matakwa ya Yanga, yeye anajali maslahi ya Simba na homeboy wake Karia wapige pesa pale TFF
Ki hekima serikali tena wizara ya michezo Kwa uchafu huu wa TFF wangewaita na kuwapa onyo au kutuma vyombo vya serikali kuwakagua
Agenda yake na TFF ni kuhakikisha Simba anakuwa bingwa Kwa vyovyote.
Na Jumapili anaenda kuwapa Simba ushindi wa mezani
Vijana tukipata madaraka tuyatumie vyema sio kulewa madaraka na kukandamiza taasisi zingine Kwa mapenzi na ushabiki wetu
Akimuondoa amteue Mzee Magoma kuwa mbunge halafu amteue kuwa naibu waziri kushika nafasi ya Mwana FA.Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF