Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

Ipo siku mtanielewa na kububujikwa sana Machozi pale mtakapokuja kujua ukweli wa yale nayowaambia juu ya Uropokaji ,ukurupukaji na Mihemuko ya Lissu
 
Nimefungua huu uzi nikadhani nitakutana na hoja za maana kumbe hovyo kabisa. Elezea madhaifu yake kwa hoja
1. Mandela alifungwa na makaburu lkn hakuwahi kulaumu Anc kwamba kina hongwa na makaburu ijapokuwa hilo halikukosekana
2. Nyerere alienda vuzuri na masheikh ijapokuwa mwisho tumeelezwa na Mohammed said, hii ilikua mwisho baada ya kuwa Rais
3. Maalim seif , licha ya kumuona lipumba msaliti lkn hakuenda nae hivyo hivyo kibabe mpaka kupatikana serekali ya mseto.
Lissu anadhani anaweza kuindosha ccm kwa kelele na hasira? Hakuna duniani kumuondoa mtawala kwa njia ya Lissu. Mwisho unaweza kuingia uchizi kila mmoja ukamuona kwako adui.
Waliokaribu na lissu wamshauri, siasa sio hasira, siasa ni akili na maarifa
 
Nadhani hata nut yenyewe imeshaanguka siyo ya kukaza tena. It is a total replacement of a Nut. Something wrong in his head. Time will tell.
 

Lissu yuko sahihi kabisa! Kuna watu ndani ya chama wanachezea wengine sana.
 
Kusema UKWELI imekuwa kuropoka? Lisu shikilia hapohapo mpaka waombe poo
 
Kuna kitu nilikisema hapa kumhusu Lissu na JPM,hicho kitu nikasema Lissu ni zaidi ya JPM!Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Hivyo hizi issues za afya ya akili,tusimuonee Lissu,ni wengi tuu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?

Hivyo kama tumeisha ongozwa na watu wa type hii na tukatulia,why not Lissu?。

Tundu Lissu ndie the one and only mwenye uwezo wa kuukata huu mbuyu wetu,Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ? kama kuna watu wanataka mbuyu uende chini,mtu pekee mwenye uwezo wa kuukata huo mbuyu ni kichaa,then mtampa shoka kichaa,mbuyu ukishakwenda chini,mnamuwahi na kumnyanganya shoka!。

P
 
The way Lissu is behaving is beyond politics. Something is behind the doors. It is not about CDM chairmanship. It is about personalities.
 
Exactly sifa anazopewa.zimemlewesha
 
The way Lissu is behaving is beyond politics. Something is behind the doors. It is not about CDM chairmanship. It is about personalities.
Sifa anazopewa zinamlewesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…