Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.

Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani

All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.

Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Umewaza nnachowaza mimi
Japo namkubali sana Lissu kwa mambo mengi ila ukimwangalia kwa jicho la tatu utagundua kwamba kuna shida mahala Pengine lile tukio na kushambuliwa kwa risasi lilimuathili sana kisaikolojia hivyo hayuko Sawa kwenye baadhi ya mambo hasa baadhi ya matamshi ambayo kama Kiongozi mkubwa wa kisiasa unapaswa kuepuka kuyatamka hadharani maana yanaleta walakini kwenye uwezo wako wa kupewa uongozi mkubwa!
Lissu anafaa kwa mambo mengi na ana umuhimu wake na ushawishi wake pia ndani na nje ya chama ila hafai kuwa Kiongozi mkubwa wa chama kikuu cha upinzani au hata kuwa Rais maana yule ana jazba sana anaweza kuleta matatizo makubwa.
 
Nakuonaga kama mtu sensible kumbe uko hivi. Sasa ya kulamba! miguu kutoka kwa mtu mwenye akili timamu kunatoka wapi? Umejibu hoja?
Wewe unajua namlamba nani miguu, acha kumsinguzia Mbowe.
Unazingua bhana unachoandika humu kumuhusu Lisu ni utoto!
Mbowe ni tapeli wa kisiasa na mjasiriasiasa! Hakuna Cha busara wala mbambambangafu! Shubamit!
 
kwa maoni yako, but you need to give reasons
 
Mbowe anataka awe kiongozi wa kudumu pale chadema. Kwasasa CCM wanampenda ila ukiisha Tu uchaguzi wanamdhihaki kwa kumuita GAIDI
 
Wakati anatibiwa, baada ya kupata ajali, hakuna sehemu walikoonyesha kuwa anatatizo la akili, labda hiyo imeamza juzi.
Kwa aadili, taratibu na nidhamu ya udaktari hawawezi kusema hiyo hadharani.........ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari, not
 
Kati ya wanasiasa nilikuwa na wa envy, Lisu was the topmost especially katika harakati (not diplomacy), harakati za kuitoa CCM madarakani.
Kumbe ana ka ukichaa, amevuruga kila kitu cha kujivunia
Kwa watu welevu na waliokuwa wanam-support Lissu, watakuwa wanajiuliza maswali mengi sana.

Binafsi nilikuwa shabiki wake sana tena sana. Lakini uchaguzi ndani ya chama umefichua mengi na kuonyesha madhaifu makubwa ya Lissu. Ndo maana tunasema kapata ukichaa. Yaani makamu mwenyekiti anatoka hadharani kuropoka ya vikao vya ndani ya chama tena hadharani.!!!!

Wengi wanaomshangaa Lissu hakuna anayesema kuwa kugombea uenyekiti ni dhambi au kosa na hilo hawapingani Naye, maana ni haki ya kila mwanachama..

Tatizo ni personal attack kwa viongozi wenzake wa Kamati kuu na kuropoka ya vikaoni. Angekuwa amejikita nini atafanya akiwa mwenyekiti wa CDM au ataleta mageuzi yapi kwenye chama. Hakuna ambaye angemuona kuwa ni Chizi.

Personalities & grievances zinatawala jukwaani badala ya hoja na sera za kukivusha chama. Move ya Lissu siyo uenyekiti bali ni kutengeneza mgogoro ndani ya chama na kukisambaratisha. Uenyekiti unatumika kama mwamvuli tu lakini agenda yake ni kukivuruga chama. Then atatimukia kwenye planned destination yake.

Kitu pekee kinachonipa confidence ni kwamba Chadema ilishavuka level ya mtu kuwa juu ya chama. Lissu na kikundi chao wataondoka na chama kitaendelea kuwa imara zaidi.

Tuvute subira muda utaongea tu.
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.

Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani

All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.

Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Mkuu huyu Lisu naona atakuacha na msongo wa mawazo. Jifunze kuvumilia ukweli. Tunamuelewa sana Lisu kuliko unavyomkubali Mbowe. Mbowe angeweza kusoma tu alama za nyakati na kukaa pembeni, kitendo cha kulazimisha kuendelea kugombea ni kujitakia aibu zinazoweza kuepukika.
 
Simkubali Mbowe katu, sina mpango naye KABISA mBOWE, my concern ni behaviour ya Lisu! kUKIVURUGA CHAMA CHAKE! FULL STOP!
 
Kwa watu welevu na waliokuwa wanam-support Lissu, watakuwa wanajiuliza maswali mengi sana.

Binafsi nilikuwa shabiki wake sana tena sana. Lakini uchaguzi ndani ya chama umefichua mengi na kuonyesha madhaifu makubwa ya Lissu. Ndo maana tunasema kapata ukichaa. Yaani makamu mwenyekiti anatoka hadharani kuropoka ya vikao vya ndani ya chama tena hadharani.!!!!

Wengi wanaomshangaa Lissu hakuna anayesema kuwa kugombea uenyekiti ni dhambi au kosa na hilo hawapingani Naye, maana ni haki ya kila mwanachama..

Tatizo ni personal attack kwa viongozi wenzake wa Kamati kuu na kuropoka ya vikaoni. Angekuwa amejikita nini atafanya akiwa mwenyekiti wa CDM au ataleta mageuzi yapi kwenye chama. Hakuna ambaye angemuona kuwa ni Chizi.

Personalities & grievances zinatawala jukwaani badala ya hoja na sera za kukivusha chama. Move ya Lissu siyo uenyekiti bali ni kutengeneza mgogoro ndani ya chama na kukisambaratisha. Uenyekiti unatumika kama mwamvuli tu lakini agenda yake ni kukivuruga chama. Then atatimukia kwenye planned destination yake.

Kitu pekee kinachonipa confidence ni kwamba Chadema ilishavuka level ya mtu kuwa juu ya chama. Lissu na kikundi chao wataondoka na chama kitaendelea kuwa imara zaidi.

Tuvute subira muda utaongea tu.
Lisu amejibu aliyoulizwa, anachotaka kufanya ndani ya cdm alikisema siku anatangaza kugombea. Kama vipi na ww tafuta jukwaa ukamuulize atakacho kifanyia cdm. Haya mambo ya siri za vikao ndio yanapelekea watu kutawala kihuni, na mwisho kung'ang'ania madaraka. Uhuni wa hizo siri za vikao ndio umefanya ccm leo hii kuwa chama cha kulea uozo.
 
Watu wanaoendeshwa kwa mahaba hawatakuelewa, mimi nimekuelewa na kila siku ninahoji: Hivi hawa wanaomlazimisha Mbowe asigombee wanatumia katiba ya chama gani. Pili, hivi wenye mahaba na Lissu wanamjua kweli. Kiubinadam tu haikupaswa kuendelea kutoa ligha za kukigawa chama wakati wewe bado ni mwenyekiti, na kumpiga/kuwapiga vijembe watu waliookoa uhai wako tena kwa pesa zao. Kweli bora umfadhili mbuzi utakunywa mchuzi.

Ninauhakika km Lissu angechukua form na kuongezwa machache kwa busara then kwenye kampuni zao huko ndani ndo angeleza dhahiri yake kwa wapiga kura, na hakika angepata kura nyingi km siyo kushinda. Ila kwa sasa mmmmmm
 
Simkubali Mbowe katu, sina mpango naye KABISA mBOWE, my concern ni behaviour ya Lisu! kUKIVURUGA CHAMA CHAKE! FULL STOP!
Anakivuruga chama au anasema ukweli kuhusu mwenyekiti? Inakuwaje tunapata tabu ukweli kuwekwa hadharani ndani ya cdm, lakini ikija upande wa ccm tunataka ukweli uwe hadharani?
 
Watu wanaoendeshwa kwa mahaba hawatakuelewa, mimi nimekuelewa na kila siku ninahoji: Hivi hawa wanaomlazimisha Mbowe asigombee wanatumia katiba ya chama gani. Pili, hivi wenye mahaba na Lissu wanamjua kweli. Kiubinadam tu haikupaswa kuendelea kutoa ligha za kukigawa chama wakati wewe bado ni mwenyekiti, na kumpiga/kuwapiga vijembe watu waliookoa uhai wako tena kwa pesa zao. Kweli bora umfadhili mbuzi utakunywa mchuzi.

Ninauhakika km Lissu angechukua form na kuongezwa machache kwa busara then kwenye kampuni zao huko ndani ndo angeleza dhahiri yake kwa wapiga kura, na hakika angepata kura nyingi km siyo kushinda. Ila kwa sasa mmmmmm
Kila binadamu ana madhaifu yake, sasa unaposema wanamjua Lisu kweli sijui unaamanisha nini. Mbowe ana haki ya kugombea, ila anataka kugombea ili kufanya nini ambacho hajafanya kwa hiyo miaka 20?
 
Lissu anafaa kuwa mwanaharakati, ila kuachiwa chama akiongoze utakuwa utaahira wa mwisho.

Mbowe amechoka, amelamboshwa asali, hana nguvu ya kuendesha chama kwa sasa.

Bottom line, chadema itafute mtu mwingine!
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.

Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani

All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.

Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Sentensi ya mwisho sijaielewa kabisa, fafanua kidogo.
 
1. Mandela alifungwa na makaburu lkn hakuwahi kulaumu Anc kwamba kina hongwa na makaburu ijapokuwa hilo halikukosekana
2. Nyerere alienda vuzuri na masheikh ijapokuwa mwisho tumeelezwa na Mohammed said, hii ilikua mwisho baada ya kuwa Rais
3. Maalim seif , licha ya kumuona lipumba msaliti lkn hakuenda nae hivyo hivyo kibabe mpaka kupatikana serekali ya mseto.
Lissu anadhani anaweza kuindosha ccm kwa kelele na hasira? Hakuna duniani kumuondoa mtawala kwa njia ya Lissu. Mwisho unaweza kuingia uchizi kila mmoja ukamuona kwako adui.
Waliokaribu na lissu wamshauri, siasa sio hasira, siasa ni akili na maarifa
Binadamu tupunguze unafiki. Wewe kaka sijuoi baba Malaria 2 mimi nawewe, tunawasapoti Gaza, wakirusha mawe, wakivamia Israel. Je hiyo ni njia nzuri ya wao kupata Uhuru wao?

Why TAL akipaza sauti unamgeuka sababu tu unaipenda ccm? Acha kuwa kigeugeu. Ukipenda haki basi iwe kwa wote. Siyo unawatetea hawa sababu ya hiki, na hutetei hawa sababu ya kile. Zaidi huwezi linganisha siasa za miaka 10 kushuka chini na za sasa na kuendelea. Mifano yako haingii hapa.
 
Wachaga mko tayari kufa kwa ajili ya Mbowe kutetea saccos yake
 
Back
Top Bottom