Gaza wanaonewa miaka mingi, Gaza ni vita kati ya wayahudi na Wapalestina baada ya suluhu kushindwa na Palestina kunyamganywa ardhi yaoBinadamu tupunguze unafiki. Wewe kaka sijuoi baba Malaria 2 mimi nawewe, tunawasapoti Gaza, wakirusha mawe, wakivamia Israel. Je hiyo ni njia nzuri ya wao kupata Uhuru wao?
Why TAL akipaza sauti unamgeuka sababu tu unaipenda ccm? Acha kuwa kigeugeu. Ukipenda haki basi iwe kwa wote. Siyo unawatetea hawa sababu ya hiki, na hutetei hawa sababu ya kile. Zaidi huwezi linganisha siasa za miaka 10 kushuka chini na za sasa na kuendelea. Mifano yako haingii hapa.