Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.

Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani

All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.

Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Wewe nae umechanganyikiwa zaidi.
 
Kati ya wanasiasa nilikuwa na wa envy, Lisu was the topmost especially katika harakati (not diplomacy), harakati za kuitoa CCM madarakani.
Kumbe ana ka ukichaa, amevuruga kila kitu cha kujivunia
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.

Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani

All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.

Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Mwanzo nilikuwa nafikiri yupo sawa kuanzia siku anabadilisha gia na kuanza kulumbana na boss wake nikabadili mawazo.

Interview ya jana nimemsikiliza hadi saa nane usiku nikaona hamna kitu.
 
Mwenye akili mbovu ni Mbowe. Amekaa miaka 20 kwenye cheo cha umwenyekiti na hataki kutoka.

Amefikia hatua Aya kitamka maneno ya majigambo kebei na nyodo kwamba:-

-amekipigania chama kwa fedha zake.
- siondoki, bado sijachoka, mtasubiri sana mpk nifikishe miaka 68.

Tafsiri yake anawaambia watanzania kuwa chama ni mali yake.

Nkurunziza wa Machame huyu.
 
Lissu ameshasahau haya
Very strange jitu limesahau. Huyu ni kichaa. Hilo tu lingetosha kumfanya asishindane na Mbowe. Bila maamuzi binafsi ya Mbowe kuwa Lisu haendi Muhimbili, lingelikuwa sasa ni mifupa
 
Mwanzo nilikuwa nafikiri yupo sawa kuanzia siku anabadilisha gia na kuanza kulumbana na boss wake nikabadili mawazo.

Interview ya jana nimemsikiliza hadi saa nane usiku nikaona hamna kitu.
Please niwekee link
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.

Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani

All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.

Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Tatizo Wachagga wa vijijini kama wewe mnaamini Chadema ni Mali ya Mtei 😂😂😂
 
Mwenye akili mbovu ni Mbowe. Amekaa miaka 20 kwenye cheo cha umwenyekiti na hataki kutoka.

Amefikia hatua Aya kitamka maneno ya majigambo kebei na nyodo kwamba:-

-amekipigania chama kwa fedha zake.
- siondoki, bado sijachoka, mtasubiri sana mpk nifikishe miaka 68.

Tafsiri yake anawaambia watanzania kuwa chama ni mali yake.

Nkurunziza wa Machame huyu.
Tafsiri yako anyway!
All in all,Lisu ana tatizo kichwani
 
Uzi wa ngapi huu mlamba miguu ya mwenyekiti
Huyu Retired hata mimi kuna wakati nilidhani ana kitu kichwani lakini niliposoma huu ujumbe wake nimeamini kuwa Mh. Tundu Antiphas Lissu kwa hakika anawatesa wengi.

Lissu anafagia machafu yaliyofichwa uvunguni na kuyaanika wananchi wayaone kwa macho yao wenyewe. Lissu kawasha BUG ZAPPER, wadudu hawana tena pa kujificha.
 
Apunguze kuongea sana.kwasababu sio kila kitu nichakumwambia kila mtu.Unaweza ukaongea mambo ukashangiliwa ukidhani unarekebisha ila baada ya miezi 3 unakuta yote uliyoyaongea yamepuuzwa na hakuna lililobadilika inabaki kua fedhea kwako.Staha ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom