Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

Mwenye tatizo la akili ni wewe! Amepata hicho kichaa baada ya kuutaka uwenyekiti? Mwambieni Mbowe aache utemi ili alinde heshima yake.
Andiko langu lina scientific inference.....Level ya Lisu si ya kufanya / kusema haya anayoyasema. Akili zake haziko sàwa. He is suffering from schizophrenia...take it seious
 
Kwanini haya yote unayasema na kuyaandika sasa baada ya Lissu tu kutangaza kugombea uenyekiti wa CHADEMA?

Kuna namna Lissu anakwenda kukulaza njaa, sio bure.
 
Kwanini haya yote unayasema na kuyaandika sasa baada ya Lissu tu kutangaza kugombea uenyekiti wa CHADEMA?

Kuna namna Lissu anakwenda kukulaza njaa, sio bure.
Argument kitoto, kwaheri
 
Msamehe bure tuu. Siyo kwa risiti hii. Hakika, umemuumbua mpaka siyo poa.
That was 4 yrs back. He was very smart by then! Siyo leo! Hàfai!

Na nimesema mwanasiasa ambaye ni my favorite choice alikuwa Lisu. It is a pity kuwa sasa amekengeuka. Anaropoka hata yale yasiyosemwa hadharani. Anawananga wenzake na kukibomoa chama.
 
Haahaa kusema ukweli kwa bongo unaambiwa unaropoka,?😂😂lissu kanyagia hapohapo
 
Ipo siku mtanielewa na kububujikwa sana Machozi pale mtakapokuja kujua ukweli wa yale nayowaambia juu ya Uropokaji ,ukurupukaji na Mihemuko ya Lissu
Haahaa pole mkuu, hatudanganyiki.tunaenda na lissu, mbowe mpokeeni lumumba
 
Pro-Mbowe mnaisaidia Ccm kuivunja Chadema.
 
Watu wa Singida wengi ndio wako hivyo. Ni visebusebu na hawana stara kwenye kuongea wala haya.
 
Kati ya wanasiasa nilikuwa na wa envy, Lisu was the topmost especially katika harakati (not diplomacy), harakati za kuitoa CCM madarakani.
Kumbe ana ka ukichaa, amevuruga kila kitu cha kujivunia
Ukichaa kaupata baada ya kumpa ushindani mwenyekiti wa maisha...
 
Na wewe Kuna nati zimelegea matakoni zinahitaji kukazwa lasivyo utachafua suruali kila muda
 
Chadema, ACT na vyama vyengine vya upinzani hawana plan ya kushinda uchaguzi wala kushika nchi, isipokuwa ni kupoteza wananchi maboya na kuwapa matumaini ya uongo.

The way siasa za vyama vya upinzani zilivyo kwa mwenye akili unaona kabisa hapa hakuna kitu.

Ukiona mpaka serikali inataka kuku ua basi jua kabisa wewe ni mwiba tena mchungu na umeshindikana.

Mbowe na Lissu mmoja wao anania ya dhati na kweli kabisa kupata chama kilicho huru, kuleta upinzani na mabadiliko ya kweli katika nchi, Ila mwengine anapoteza watu maboya ili kusogeza siku.

Serikali ya CCM haitakubali hata siku moja kuona vyama vengine vikiongozwa na watu wenye misimamo ya kweli na wanaotaka mabadiliko kwasababu kuruhusu huko kutapelekea Serikali kushindwa kuwanunua watu hao na hatimae wawe viongozi vivuli tu ambao muongozo wote bado utatoka CCM tu.

Lissu he's arleady betrayed na atapoteza muda kuendelea kukaa chadema kwasababu CCM wana machawa ndani ya Chadema ambao ndio viongozi wakubwa ndani ya chama.

Mabadiliko ya kweli yanakuja na yataletwa na vyama vengine vipya ila sio hivi vilivyozoeleka.

Kufatilia siasa za Bongo inabidi ujizime data unless utapasuka kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…