Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Mkuu huu uzi kabisa ujue, ungefungua ili waungwana watoe maoni yao.!!

Una kitu
 
Kaka mkubwa Kiranga njoo kuna mtu anakuchokoza 🀣🀣🀣
 
😁😁😁😁😁
Mwenzio chupa moja nagida siku mbili au tatu
.Siku nikimaliza chupa nzima nahisi nitazima😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unapanda madhabauni unanena kwa lugha waumini wanajua umepatwa na roho mtakatifu, kumbe uko njwiii una roho mtaka bifu hatareeee sana.!!
 
Nimependa umeongea bila kunukuu biblia mkuu..

Naomba bila kunukuu biblia unieleweshe ni kwa nini kama Mungu ameweza kuumba hivyo vyote ulivyovitaja ameshindwa kuumba binadamu asiye na kasoro.?
Kasoro ni mahitaji ya maumbile na muumbaji.

Ukiwa hauna kasoro unaweza ukadumu daima dumu milele usife.

Kasoro ndizo huleta magonjwa na vifo, mifarakano, vita na mabalaa mengine ambayo humpelekea binadamu afikie tamati.

Na kifo ni mfumo rasmi wa kisayansi wewe unaujua.
Ndonikasema mfumo wa uumbaji umefuata kanuni zisizo sigana.

Tatizo letu binadamu tunamuwaza Mungu kwa mfano wa object flani, ama mtu ama nini sijui!

Sasa tukisha mvisha sura namna hiyo lazima tubishi.

Tukimuwaza Mungu bila kumvisha sura yoyote, tunaweza kupata utulivu.
 
Aisee wewe Fereke mbona una roho nzuri hivi??πŸ’•πŸ’•πŸ’•
Asante kwa huu upendo rafiki yangu kipenziπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ
Muda na hekimq uliyotumia Sichukulii kawaida na hata neno asante naona halitoshi.

Kuhubiri naweza kuacha polepole then nikatafuta namna nyingine ya kufundisha kawaida ila kuimba ndio starehe yangu kuu na nikigeukia secular ndo yaleyale na pia huko sitapaweza.



Ushauri no 2 nakupata sana wala usihofu.Siwezi kamwe kufanya hicho kitu,nitatengwa kila sehemu na kikubwa nitahatarisha usalama wangu na mtoto.
ASANTEπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ
 
Thibitisha Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) yupo.

Ukisema tu uthibitisho unajionesha kwenye kanuni za kisayansi, hapo hujathibitisha chochote.

Unaunganishaje kanuni za kisayansi na Mungu huyo?

Hujathibitisha lolote, hapo ni sawa na kusema "uthibitisho wa Mungu upo katika rangi ya bluu".

Uthibitisho wa Mungu unaonekanaje kwenye rangi ya bluu?

Onesha kimantiki hiki kimekuja kwa kile, hiki kikawa hivi, hivyo lazima huyo Mungu yupo.

Usiseme kizembe tu kanuni za kisayansi zinathibitisha Mungu yupo.

Mimi naweza kukuambia kwamba kanuni za kisayansi ziko dispoassionate, zinaua watu wengi katika natural disasters kwa mfano, na hilo linatuonesha kuwa kanuni za kisayansi hazithibitishi uwapo wa Mungu huyo, zinathibitisha Mungu huyo hayupo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unapanda madhabauni unanena kwa lugha waumini wanajua umepatwa na roho mtakatifu, kumbe uko njwiii una roho mtaka bifu hatareeee sana.!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hatari mdogo wangu.
Vile unayumba yumba watu huku mapepo yanapandaπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…