Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uliniambia nimsalimie umesahau??Hahahahaha Salam gani hizo alizokupa? Tangazo la upotevu wangu halikutoka
Hahahahaha Hahahahaha..umetishaSi uliniambia nimsalimie umesahau??
Had nikampigia simu kumpa salamu zako ๐๐
Awwwwwwe shemeji karibu ๐๐๐Na ahidi nitamtunza atasahau machungu aliyopitia kuhusu ukwasi na mimi nipo vizuri sema tuna bond nae kwenye vitu viwili i mean ATHEIST na Hiyo kutokuwa na ndugu japokuwa mimi upande wa baba simjui hata mmoja
Kumekucha ๐๐๐-Huamini katika Mungu ila unahubiri na kuimba habari za Mungu, maajabu
- Huamini katika Mungu ila hutaki wanakuzunguka wajue(utapeli & kuto kujiamini na kukosa msimamo)
- Walevi wanajiamini wakunywa barabarani kila mtu amuone, wewe kunywa kwa kujificha maana yake Hukumu ya ndani inakutafuna
-Kataa ndoa maana yake wewe ni mpinga Kristo ijapokuwa dhamiri yako inakusuta na inakiri kuwa ndoa ni nzuri lakini roho ya mpinga kristo imekutawala.
Hitimisho:: Manabii wengi wa sasa, ni wachawi, walevi, wazinzi & Waasherati, wafurahie ila wanajivunia mwamvuli wa kuhubiri, lengo lao ni kujipatia pesa, Bibilia inasema ukitaka kuwa moto uwe moto, baridi uwe baridi.
kumbe kulikuwa bado?Kumekucha ๐๐๐
Bado tusubiri anywe wine kwanza atupe mahubiri ๐นkumbe kulikuwa bado?
๐Ushaanza mabangi yako kama maghayo๐Sijasoma huu uzi na sitaki.
Boda anajua mi mlokole.Da Pri usinichekeshe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sasa hiyo wine Boda alitakaje kwa mfano??
Nauli yake si kalipwa??
Uwe unaniagiza mimi nakufungia stock ya mwezi mzima.!!! ๐๐๐
Hataki watu wajue, sisi humu ni midoliBado tusubiri anywe wine kwanza atupe mahubiri ๐น
Huu uzi ukikoment unahisi upo Iluminant ndo maana watu wanakimbia๐๐40 people are here
Wanachungulia na kukimbia ๐
Mateso ya nini sasa, na watu wanajua sema hawajakuambia, siku ya kuumbuka ikifika utajua kumbe walikuwa wanakuchoraBoda anajua mi mlokole.
Itabidi tufanye hivyo kwa kweli.
Kuna siku nilienda liquor store na nikabu ,Wine nilipata ila watu walivyonishangaa nikasema kuna siku waislam wataniua kwa kuwachafulia dini yao sijarudia.
Halafu sasa hata home nakunywa kwa kujificha hasa dada wa kazi akijua ndo kila mtu atajua .Na mtoto pia sitaki ajue,nazificha kama bangi๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ mbavu zinaniuma ๐๐Boda anajua mi mlokole.
Itabidi tufanye hivyo kwa kweli.
Kuna siku nilienda liquor store na nikabu ,Wine nilipata ila watu walivyonishangaa nikasema kuna siku waislam wataniua kwa kuwachafulia dini yao sijarudia.
Halafu sasa hata home nakunywa kwa kujificha hasa dada wa kazi akijua ndo kila mtu atajua .Na mtoto pia sitaki ajue,nazificha kama bangi๐
Humu hatujuani tuna Fake id ndiomana kapata ujasiri wa kushea story yake.!!Hataki watu wajue, sisi humu ni midoli