Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

-Huamini katika Mungu ila unahubiri na kuimba habari za Mungu, maajabu

- Huamini katika Mungu ila hutaki wanakuzunguka wajue(utapeli & kuto kujiamini na kukosa msimamo)

- Walevi wanajiamini wakunywa barabarani kila mtu amuone, wewe kunywa kwa kujificha maana yake Hukumu ya ndani inakutafuna

-Kataa ndoa maana yake wewe ni mpinga Kristo ijapokuwa dhamiri yako inakusuta na inakiri kuwa ndoa ni nzuri lakini roho ya mpinga kristo imekutawala.

Hitimisho:: Manabii wengi wa sasa, ni wachawi, walevi, wazinzi & Waasherati, wafiraji ila wanajivika mwamvuli wa kuhubiri habari za Mungu, lengo lao ni kujipatia pesa, Bibilia inasema ukitaka kuwa moto uwe moto, baridi uwe baridi.
 
Na ahidi nitamtunza atasahau machungu aliyopitia kuhusu ukwasi na mimi nipo vizuri sema tuna bond nae kwenye vitu viwili i mean ATHEIST na Hiyo kutokuwa na ndugu japokuwa mimi upande wa baba simjui hata mmoja
Awwwwwwe shemeji karibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tena umesema MKWANJA upo basi umepita bila kupingwa..!!
Sis Pridah msikilize mwenzio Billionaire 🀣
 
Kumekucha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Da Pri usinichekeshe 🀣🀣🀣
Sasa hiyo wine Boda alitakaje kwa mfano??
Nauli yake si kalipwa??
Uwe unaniagiza mimi nakufungia stock ya mwezi mzima.!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Boda anajua mi mlokole.
Itabidi tufanye hivyo kwa kweli.

Kuna siku nilienda liquor store na nikabu ,Wine nilipata ila watu walivyonishangaa nikasema kuna siku waislam wataniua kwa kuwachafulia dini yao sijarudia.

Halafu sasa hata home nakunywa kwa kujificha hasa dada wa kazi akijua ndo kila mtu atajua .Na mtoto pia sitaki ajue,nazificha kama bangiπŸ˜€
 
Sijui niseme pole kwa unayopitia,au nikupongeze hata sielewi.Nimependa namna unavuomlea huyo mtoto WA kitume(kama hujaongopa).Umenikumbusha wa kwangu hapa nilimwambia mwaka Jana cake NI bidhaa ya wanawake sio wanaume.(8yrs).Huwezi amini kumbe lililimkaa lile neno Jana ananiambia mama kwenye birthday yangu ninunulie Raba na suruali usinunue cake.

Nahisi umekua hivo ulivo kwa sababu ya mapito ulopitia.Sasa wote mkikataa ndoa itakuaje jamaniπŸ™†πŸ™†.Ndoa ndo msingi wa familia.Na yawezekana uliitaka (sorry to say this).Ulichokikuta kikakukatisha Tamaa.Hivi hapa tunashauri au tunafanyajeπŸ˜€πŸ˜€πŸƒπŸƒ
 
Mateso ya nini sasa, na watu wanajua sema hawajakuambia, siku ya kuumbuka ikifika utajua kumbe walikuwa wanakuchora
 
🀣🀣🀣🀣 mbavu zinaniuma πŸ™ŒπŸ™Œ
Sis Joannah msikilize da Pri

Ulipiga nikabu ukaenda liquor store khaaaa!!
Ila unateseka sana 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…