Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Anaweza kuwa anaishi na mwanae tu ila ana mpenzi asiye baba wa mtoto huyo.
Ambapo baba wa mtoto na mpenzi aliye naye, wote hakuna anayehusika na malezi ya huyo mtoto.
Hii kitu inauhusiano na changamoto niliyokutana nayo haki lkn ngoja tuone mwisho wake
 
Ni kuwapuuza, watu wamevurugwa, wana stress maisha magumu.
Ni wa kuwahurumia mwauyaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…