Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Hakika sentence inavutia hii,ni aina ya maisha ya ndoto zangu iasante ila acha tu mwaya akafurahie mwanamke mwingine😭😭😍😍
Mimi nipo nitatimiza Kila lonalopaswa mwanaume atomize kwa mwanamke naomba tuonane PM kwa maongezi zaidi
 
Asante kwa ujumbe wa upendo luvπŸ™πŸ˜.
Uwe na jmos njemaπŸ™
 
Mimi nataka uwe Dada yangu nikusaidie kutumia hela
Huwa nawapelekesha sana wadogo zangu mpaka wale hizo hela wanakua wamepiga mzigo wa uhakika

Karibu dear kama unaweza mapambano
 
Asante kwa ujumbe wa upenfo luvπŸ™πŸ˜.
Uwe na jmos njemaπŸ™
NAOMBA UFUTE KAULI YA KUSEMA MUNGU HAYUKO, MUNGU YUPO NA NI MUWEZA WA KILA KITU. ILA KUJUA KUA MUNGU YUPO KUNAHITAJI AKILI ZA ZIADA. MIFANO IPO MINGI YA KUTHIBITISHA MUNGU YUPO, ANGALIA MWILI WAKO JINSI UANVYOFANYA KAZI, UNAKULA CHAKULA KINASAGWA , SUMU ZINCHUJWA, UCHAFU UNATOKA SEHEMU YAKE ,.MOYO NI KAMA WATER PUMP, KUNA MAPAFU, KUNA INI, ACHILIA MBALI UBONGO, VITU VYOTE HIVI VIMETOKANA NA TONE LA MANIII TU, ACHENI MUNGU AITWE MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…