Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

DADA POLE SANA KWA MASAHIBU, GOD ALWAYS WORKS IN A MYSTERIOUS WAY, MUNGU HAKUKUTOA KWENYE MATESO ULIVYOKUA MDOGO LAKINI SASA HIVI AMEKUPA MAISHA MAZURI SI KILA WAKATI MAOMBI YETU YANAJIBIWA VILE TUNAVYOTAKA . MUNGU YUPO NA ANASIKILIZA MAOMBI YETU INGAWAJE HATUJIBU VILE.TUNAVYOTAKA BUT VILE ANAVYOONA NI BORA.
Asante kwa ujumbe wa upendo luv🙏😍.
Uwe na jmos njema🙏
 
Mimi nataka uwe Dada yangu nikusaidie kutumia hela
Huwa nawapelekesha sana wadogo zangu mpaka wale hizo hela wanakua wamepiga mzigo wa uhakika

Karibu dear kama unaweza mapambano
 
Asante kwa ujumbe wa upenfo luv🙏😍.
Uwe na jmos njema🙏
NAOMBA UFUTE KAULI YA KUSEMA MUNGU HAYUKO, MUNGU YUPO NA NI MUWEZA WA KILA KITU. ILA KUJUA KUA MUNGU YUPO KUNAHITAJI AKILI ZA ZIADA. MIFANO IPO MINGI YA KUTHIBITISHA MUNGU YUPO, ANGALIA MWILI WAKO JINSI UANVYOFANYA KAZI, UNAKULA CHAKULA KINASAGWA , SUMU ZINCHUJWA, UCHAFU UNATOKA SEHEMU YAKE ,.MOYO NI KAMA WATER PUMP, KUNA MAPAFU, KUNA INI, ACHILIA MBALI UBONGO, VITU VYOTE HIVI VIMETOKANA NA TONE LA MANIII TU, ACHENI MUNGU AITWE MUNGU
 
Back
Top Bottom