Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Tafuteni kwanza ufalme wa mbingu vingine mtapewa kwa ziada. Kuna wakati huwa tunafarijika kuwa tumejenga jengo hili au tumenunua gari ile. Ila ukiangalia magofu ya mijumba ambayo haina wenyewe, gari zilizotelekezwa mbele humo, utagundua kuwa, Mhubiri alikuwa sahihi aliposema maisha ya mtu ni ubatili mtupu. Aidha, Mt August in anasema kuwa, " roho ya mtu haitulii hadi iwe imepata Mungu". Huhitaji kwenda nyumba za ibada (huenda hata Mungu hayuko huko). Ila tambua tu Mungu yupo inatosha.
🙏🙏
 
Mwanamke mwenye sifa mbaya zaidi hapa JF ni kuwadi wa shetani pekee yake FaizaFixy si wewe. Ila ada hiyo ya milioni 10 kwa elimu ya mwanao si garanti ya kutoboa maishani kwani elimu ya Tanzania ni kama imekufa tu, haina ushindani maishani. Kingine, jaribu kumkataza mwanao asijihusishe na uchungaji au kubeza sana maisha yake kwenye dini kwani atalostika. Wengi wanaoishi maisha yao kwa misingi ya dini ni washirikina, wanafiki, na malaya kupindukia, dini uharibu sana watu kimaisha.
Ni kweli hakuna kitu ni guarantee ya maisha bora.

Ni kweli pia ila anaweza kutoboa kama Mwamposa
 
Masingle maza mbususu zao tamu..... Sijui na ya hyu single maza itakuwa tamu?
 
Kutokuwa na imani katika jambo lolote , inakuwa ni imani juu yako, hivyo usipo amini uwepo wa Mungu imani yako hiyo imekuwa ni imani juu yako.

Ni kawa wasio na sheria , kutokuwa na sheria kunakuwa sheria kwao pia, Na wewe usiyekuwa na imani juu ya Mungu , imekuwa ni imani kwako.

Kwani ni nani anayejua maisha ya mtu? Kila jambo linalotokea katika maisha ya mtu huwa kuna sababu nyuma yake, iwe mateso, iwe magonjwa, iwe kifo, uwe utajiri , iwe umasikini, iwe kukosa wazazi, iwe mimba za utotoni , iwe utu wema , iwe ubaya nk.

Hakuna kitu kisicho na sababu ya uwepo wake, Sisi wanadamu tuna ukomo wa fikra, ndio maana hatuwezi kujua hata lini tutakufa au kutoweka. Hatujui hata daikika moja mbele yetu nini kitatokea.

Fikra za mwanadamu zikikosa ufumbuzi huanza kufumbua mambo yaliyo ndani ya fikra yake .

Hakuna jambo zuli kama kuishi kwa kuamini kuwa yupo aliye bora zaidi yako, kama wewe umekuwa hivyo ulivyo basi kuna mwingine aliyepo ambaye yupo zaidi yako na anauwezo wa kukusimamia wewe, awe miungu , awe malaika awe ibilisi au hayawani. Ila zaidi ya yote yupo Mwenyezi Mungu mwenye uwezo zaidi ya vyote.

Yule asiye amini Mungu ataamini miungu, ndo mana mnajitukuza nakujiita nyie ni miungu na wengine wana wasadiki watoto wao au viumbe kwa kawaida kama mbwa na paka nk.Na hilo sio jambo geni kwenu.

Ila mwanadamu yoyote anapokosa uwepo wa Mungu katika fikra zake ,yeye huyo hana taofauti na mnyama . Ndo mana watu siku izi wanafanya mambo ya ajabu kupita kiasi, wana lala na wanyama , wana lala na ndugu zao, na wengine hata na wazazi wao.

Usiende katika madhabahu yoyote kwenda kuigiza. kama huna imani nayo bora usiende, mana kila madhabahu ina msimamizi wake, na kwa hilo watu ndio wameitiwa hapo, iwe ni jema au baya, watu wapo pale.

Kwa hiyo kama huamini uwepo wa Mungu endelea kutokuamini kabisa,na kama unaamini jikite hapo kabisa,tana zaidi .Maisha ya mtu ni yake mwenyewe na wanao mzunguka.

Hakuna kitu cha bahati mbaya,na kukosa wazazi ina sababu zake pia kama nilivyo kwisha sema, ila Mungu ni mwaminifu atatuinua tukiwa waaminifu katika mioyo yetu.
Wapo wana wa upotevu ambao roho ya yule mwovu inafanya kazi ndani yao.Jiepusheni nao na wala wasiwanyakue kwa elimu zao na ujuzi wao usio na maana hata mkapotea pamoja nao,maana wao mungu wao ni dunia ,wakila wakashiba na pesa ipo mfukoni basi habari imekwisha.
 
Nilichojifunza kuwa kanisani pia kuna wanaoabudu miungu ila wamejificha kwenye madhabahu ya Mungu wa kweli anayeishi...

NB: Sikuhukumu naomba Rehema umjue unayemtumikia
 
Nipo sis 😍
Tumekumiss ulipotelea wapi?
Sis Joannah njoo mama mchungaji karejea.!! 🥰🥰

Jana nilikuwa nakunywa divai nikakumbuka 🤣🤣
Huyo binamu yako anaekunywa huku kajifungia kwenye tinted akishuka anapanda madhabahuni? kanimaliza maarifa😂😂
 
Kuna kama exaggeration flani hapa... umejikita hasa kwenye kuona wewe uko unique! Ila ukweli ni kuwa hata hao unaowaona wamepotea kwa kuamini uwepo wa mungu, are just like you.
Pole sana kukua bila wazazi, na hii imechangia pakubwa sana to whom you've become. U question everything, which is a good thing but tambua maisha yana kanuni, usiwaige wazungu wao pia hizi sijui feminism na single mothers zinawatafuna pia.
 
Kutokuwa na imani katika jambo lolote , inakuwa ni imani juu yako, hivyo usipo amini uwepo wa Mungu imani yako hiyo imekuwa ni imani juu yako.

Ni kawa wasio na sheria , kutokuwa na sheria kunakuwa sheria kwao pia, Na wewe usiyekuwa na imani juu ya Mungu , imekuwa ni imani kwako.

Kwani ni nani anayejua maisha ya mtu? Kila jambo linalotokea katika maisha ya mtu huwa kuna sababu nyuma yake, iwe mateso, iwe magonjwa, iwe kifo, uwe utajiri , iwe umasikini, iwe kukosa wazazi, iwe mimba za utotoni , iwe utu wema , iwe ubaya nk.

Hakuna kitu kisicho na sababu ya uwepo wake, Sisi wanadamu tuna ukomo wa fikra, ndio maana hatuwezi kujua hata lini tutakufa au kutoweka. Hatujui hata daikika moja mbele yetu nini kitatokea.

Fikra za mwanadamu zikikosa ufumbuzi huanza kufumbua mambo yaliyo ndani ya fikra yake .

Hakuna jambo zuli kama kuishi kwa kuamini kuwa yupo aliye bora zaidi yako, kama wewe umekuwa hivyo ulivyo basi kuna mwingine aliyepo ambaye yupo zaidi yako na anauwezo wa kukusimamia wewe, awe miungu , awe malaika awe ibilisi au hayawani. Ila zaidi ya yote yupo Mwenyezi Mungu mwenye uwezo zaidi ya vyote.

Yule asiye amini Mungu ataamini miungu, ndo mana mnajitukuza nakujiita nyie ni miungu na wengine wana wasadiki watoto wao au viumbe kwa kawaida kama mbwa na paka nk.Na hilo sio jambo geni kwenu.

Ila mwanadamu yoyote anapokosa uwepo wa Mungu katika fikra zake ,yeye huyo hana taofauti na mnyama . Ndo mana watu siku izi wanafanya mambo ya ajabu kupita kiasi, wana lala na wanyama , wana lala na ndugu zao, na wengine hata na wazazi wao.

Usiende katika madhabahu yoyote kwenda kuigiza. kama huna imani nayo bora usiende, mana kila madhabahu ina msimamizi wake, na kwa hilo watu ndio wameitiwa hapo, iwe ni jema au baya, watu wapo pale.

Kwa hiyo kama huamini uwepo wa Mungu endelea kutokuamini kabisa,na kama unaamini jikite hapo kabisa,tana zaidi .Maisha ya mtu ni yake mwenyewe na wanao mzunguka.

Hakuna kitu cha bahati mbaya,na kukosa wazazi ina sababu zake pia kama nilivyo kwisha sema, ila Mungu ni mwaminifu atatuinua tukiwa waaminifu katika mioyo yetu.
Wapo wana wa upotevu ambao roho ya yule mwovu inafanya kazi ndani yao.Jiepusheni nao na wala wasiwanyakue kwa elimu zao na ujuzi wao usio na maana hata mkapotea pamoja nao,maana wao mungu wao ni dunia ,wakila wakashiba na pesa ipo mfukoni basi habari imekwisha.
🙏🙏
 
Nipo sis 😍
Tumekumiss ulipotelea wapi?
Sis Joannah njoo mama mchungaji karejea.!! 🥰🥰

Jana nilikuwa nakunywa divai nikakumbuka 🤣🤣
Nilikumiss zaidi mdogo wangu😍😍
Nimepotezwa na ugumu wa maisha hata hela ya bundle naona anasa dogo😜.

Natumai hamjambo wapendwa wangu.Hivi mnajua nawapenda kiasi cha kukopa vocha ya jero ili tu niingie JF niwaone?😍😍

Hlf lastborn una akili ujue!
Sisi watumishi hatusemi pombe,tunasema divai.
Sasa ile stock yangu ya divai niipate kabla ya mkesha wa Xmas😀
 
Huyo binamu yako anaekunywa huku kajifungia kwenye tinted akishuka anapanda madhabahuni? kanimaliza maarifa😂😂

Huyo binamu yako anaekunywa huku kajifungia kwenye tinted akishuka anapanda madhabahuni? kanimaliza maarifa😂😂
😀😀😀
Nyie pokeeni neno,kuweni waaninifu ktk sadaka na matoleo ila ukimchunguza sana nabii utajicheleweshea mibaraka yako😀
 
Nilikumiss zaidi mdogo wangu😍😍
Nimepotezwa na ugumu wa maisha hata hela ya bundle naona anasa dogo😜.

Natumai hamjambo wapendwa wangu.Hivi mnajua nawapenda kiasi cha kukopa vocha ya jero ili tu niingie JF niwaone?😍😍

Hlf lastborn una akili ujue!
Sisi watumishi hatusemi pombe,tunasema divai.
Sasa ile stock yangu ya divai niipate kabla ya mkesha wa Xmas😀
Dada hata mimi nmekumis
 
Back
Top Bottom