Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Kwakweli siku hizi nmekuwa makini sana kwenye kutoa sadaka😀😀😀
Nyie pokeeni neno,kuweni waaninifu ktk sadaka na matoleo ila ukimchunguza sana nabii utajicheleweshea mibaraka yako😀
Watu wanakula hadi hela za zaka