Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Oooh binamu mtumishi!ulipotea sana karibu tena....vipi ulienda kupiga wapi gombo?
Mefurahi kukuona mtumishi😍😍
Mbali ya kupotezwa na ugumu wa maisha nilienda kujificha miliman kuutafuta uwepo.
Jiandaen mwakani na mimi mtume Pridah nitafanya mkesha mkubwa wa
PANDA UVUNE.
 
Kuna mtu danga lake ni padri
Anakula sadaka balaa
Hatari.
Mi pia enzi nasoma kuna rafiko yangu dadake alikua kama kaolewa na padri.Kajengewa,wamezaa.Alikua na maisha mazuri
 
Mefurahi kukuona mtumishi😍😍
Mbali ya kupotezwa na ugumu wa maisha nilienda kujificha miliman kuutafuta uwepo.
Jiandaen mwakani na mimi mtume Pridah nitafanya mkesha mkubwa wa
PANDA UVUNE.
Uwiii nyie watu mnataka mtupuluse hadi sh kumi!maana hii mikesha inapishana weekend tu,mara kawe,mara temboni,mara ubungo,mara mikocheni,mara mate mbele ya pili,hapo tunashukuru kwa lulenge kumehamia Lugumbashi🤣🤣🤣Haya sie binamu zako ndio tutakuwa chawa we tupe tu Location ya tukio
 
😀😀😀
Nyie pokeeni neno,kuweni waaninifu ktk sadaka na matoleo ila ukimchunguza sana nabii utajicheleweshea mibaraka yako😀
🤣🤣🤣Eeeh kweli umeshuka mlimani Kikazi
 
Nimesoma story yako ni nzuri sana,vipi dada naweza kuwa sehem ya family yako?
 
Nilikumiss zaidi mdogo wangu😍😍
Nimepotezwa na ugumu wa maisha hata hela ya bundle naona anasa dogo😜.

Natumai hamjambo wapendwa wangu.Hivi mnajua nawapenda kiasi cha kukopa vocha ya jero ili tu niingie JF niwaone?😍😍

Hlf lastborn una akili ujue!
Sisi watumishi hatusemi pombe,tunasema divai.
Sasa ile stock yangu ya divai niipate kabla ya mkesha wa Xmas😀
Wewe Mwamposa wa kike sio wa kukosa vocha na sadaka za kujimaliza za waumini zimefurika madhabahuni 😹😹😹

Stock yako ipo ready ni wewe kusema lini ikufikie sis 😹😹
 
Back
Top Bottom