Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Nimependa sana hii hadithi ya maisha yako, saa natamani ningekuwa na mtindo kama wako.
Binafsi nakupongeza na kukutakia kufika kilele cha mafanikio wewe na mwanao.
Kwa niaba ya uncle wako tunasema asante🙏🏼
Kila la heri nawe pia mkuu
 
Dah!unanichanganya sana ubongo,kwenye ule uzi wako mwingine ulisisitiza MUNGU YUPO NA UMEMUONA mara kadhaa kwa macho yako ya nyama...Sasa sielewi...ila yote mema
 
Kwa uzi huu nimeamin hata mapadre wetu ni atheist,maana kwa kitabu wanachokipiga sizan kama wakihitimu wanakuwa bado wanaamin uwepo wa mungu

Huwa wanatuchora tu tukiwa kwenye ibada/misa

Mods wasivyopenda kuona ukwel wataifuta hii comment
Nakubaliana nawe mkuu!
Sio wajinga wale
 
Dah!unanichanganya sana ubongo,kwenye ule uzi wako mwingine ulisisitiza MUNGU YUPO NA UMEMUONA mara kadhaa kwa macho yako ya nyama...Sasa sielewi...ila yote mema
🥰🥰🥰
Kwanza nimefurahi sana kukuona.
Nilimiss uwepo wako kila nikiingia,

Ni kweli mambo mazuri yaliyokea kwangu na kusema nimemuona Mungu ni namna ya kuelezea ukubwa wa “ushuhuda” na vile nilivyoanfika ktk ule ushuhuda ndio lugha ninayotumia kila siku ila ukweli wangu ni huu na siku ukiona sehemu amen au Bwana Yesu asifiwe usichanganyikiwe
 
huyu inabidi tumuombee, nyakati zilizopo ni nyakati za uovu..watu wanakana imani zao wazi wazi..shetan yupo kazini
Asanteni kwa maombi ila sio kila asemae Bwana Bwana ni...,
 
Kati ya vitu Mungu hapendi ni unafiki, kujifanya mtu wa Mungu wakati unajichoresha tu, ipo siku utaumbuka vibaya sana, kama umeamua kuwa mshenzi kuwa mshenzi kama umeamua kuwa mtu wa imani kuwa mtu wa imani,
Kanisa linanihitaji mkuu!
Mimi ni mwl. Mzuri
 
Naomba tutafute mtoto wa pili kama hutojali.
Mm ni mstaafu lakini bado napenda kupata watoto.
 
Back
Top Bottom