Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Sijapatwa kitu mkuu na pia nitakuelewa vizuri kama hutanukuu biblia🙏🏼
lazima ninukuu biblia ili usije kusema natumia maneno yangu, na neno la Mungu li hai kama ww sio wa Mungu lazima ukilisikia linakuchoma ndo mana hutaki ninukuu neno lake wkt ww mwenyew umejiita ni mtumishi, usikute ww ni design ya kina zumaridi
 
!??
 
Attachments

  • FB_IMG_1718882784219.jpg
    FB_IMG_1718882784219.jpg
    30.9 KB · Views: 2
lazima ninukuu biblia ili usije kusema natumia maneno yangu, na neno la Mungu li hai kama ww sio wa Mungu lazima ukilisikia linakuchoma ndo mana hutaki ninukuu neno lake wkt ww mwenyew umejiita ni mtumishi, usikute ww ni design ya kina zumaridi
Linichome kwani lina shoti za umeme!
Kila siku nasoma biblia kuandaa mahubiri na sichomi ila ni bora utumie maneno yako yanaweza kiwa ya maana kuliko hayo unayodhani yananichoma
 
Back
Top Bottom