Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unapitaga huku!!Wewe maila kabisa wewe, Hivi unamjua Miss B??
lazima ninukuu biblia ili usije kusema natumia maneno yangu, na neno la Mungu li hai kama ww sio wa Mungu lazima ukilisikia linakuchoma ndo mana hutaki ninukuu neno lake wkt ww mwenyew umejiita ni mtumishi, usikute ww ni design ya kina zumaridiSijapatwa kitu mkuu na pia nitakuelewa vizuri kama hutanukuu biblia🙏🏼
Heading ilinifanya nipitie nione hizo tabia ambazo wengine hamna.. Sasa huyu si malaika kabisa huyu, au story inaendelea?Kumbe unapitaga huku!!
HakikaKama hili uliloandika ni kweli basi wewe ni mama mwenye akili mingi.
Haijalishi ukwasi umeupataje ila kua nao mpaka hapo kwa uliyopitia, unastahili pongezi.
Ni wanawake wachache wako kama wewe, hongera.
Maybe heading ameamua kuiweka kifasihi zaidi.Heading ilinifanya nipitie nione hizo tabia ambazo wengine hamna.. Sasa huyu si malaika kabisa huyu, au story inaendelea?
Nipresie namba yako basiHata mimi nikinywa mbege nakuona kwenye machicha.
Linichome kwani lina shoti za umeme!lazima ninukuu biblia ili usije kusema natumia maneno yangu, na neno la Mungu li hai kama ww sio wa Mungu lazima ukilisikia linakuchoma ndo mana hutaki ninukuu neno lake wkt ww mwenyew umejiita ni mtumishi, usikute ww ni design ya kina zumaridi