Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
Aiseeeh
 
Inabidi ujiongeze hauna namna na acha kufikiria mabaya. Miaka yake hiyo na bado hata hajafaidi, mwili wake unajua unataka raha.

Wa umri wako anaweza kuwa anampenda zaidi ya huyo... Tulia kaza kwamba nawe ufaidi bado umri wako.. na tafuta wa kukusaidia kisaikolojia kama kuna kitu kinakutoa relini.
 
Hakuwahi kushiriki mapenzi? Huyo ni mzuri anajua mapigo unayompiga ndio wanaume wote wako hivyo, asilogwe akaonja mpiko mwingine mtamu zaidi yako hakuna rangi utaacha kuona, hata kama ni mtu mzima ataheuka hutaweza kumdhibiti kwa kuwa aliruka stage fulani ya foolish age. Ila sio wote uhehuka wakiwa ndoani hata kama hawakupitia mapenzini katika usichana wao.
 
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
Mambo ya kutaka mtoto mbichi kama embe sindano yameleta shida.🤔
 
32 umechoka kutomba wakati mm nina miaka 60 mke wangu hanitoshi nina mpango wa kumtomba mpaka mama ake
unakuta umeoa mke ambaye mama yake naye umemzidi umri au mko sawa au kakuzidi miaka kidogo tu kiasi cha kutosha kumpelekea moto kama atajipendekeza vibaya. Miaka 60 bado zipo nguvu nyingi sana za kumburuza binti mwenye ngege kali na akashika adabu
 
Back
Top Bottom