ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Mbona kama umri unaruhusu kubanjuka sana mkuu? Au huenda urge yako ya sex ipo chini kulinganisha na mwenzako?32 now
Huwa nawaambia wenzangu, age gap iwe 2-5. Ukimzidi sana ke kuna vitu baadae utashindwa kumtimizia. Umri ambao mnaweza kuoana hata 20yrs diff ni above 35. Me aweza kiwa 55 na mke 35 na maisha yakawa poa tu, lakini 40 kwa 20 utapata shida sana.