Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
itabidi tu ufanye namna uendane na mwenza wako. hamna namna kwa kweli.

ishawahi kunikuta nikawa sina hamu wakati mwenzangu anataka.

siku nikafanya mabadiliko, ilibidi aombe mapumziko ya siku 2.
 
32 mwanangu bado sana.
Jana nlikua najaza taarifa wa wateja walikuja kutafuta huduma ya cheti cha kuzaliwa. Mume kazaliwa 1975 mke 1990. Ona gape hilo na bado jamaa anaichakata mbususu.

Mpige mimba mkeo.
Duuu au huyo Mwanaume ana pesa nyingi.
 
Tatizo sio style wala sio nguvu mkuu, yani physical niko okey, ila mental/ psychologically ndio shida.

Ile idea kwamba nifanye romance muda mrefu mara nikate kiuno saa nzima yani naona kama adhabu kwa sasa. Na kadri siku zinavyozidi kwenda ndo napoteza interest zaidi, kwakweli sijui ten years ahead itakuaje kwenye hii ndoa.
Sawa hiyo ni moja lakini mbili mbona bado kulingana na maelezo yako nnaona kama tatizo lipo nnaliona kabisa maana umesema: 'nifanye romance muda mrefu' kisha ukasema 'nikate kiuno saa nzima'

Hebu siku moja moja mwambie akukatikie saa nzima, fanyeni hivyo kama wiki 2 hivi uone kama ni interest bado au n nn. Off course mbalance iwe siku hauna mishe kibao.

Jaribu kwanza ndio uone...... hata isipomaliza tatizo itapunguza. Mkeo huyo lazima muendelee kusomana na kujirekebisha.

Hii code haina kufeli maana ina matokeo matatu au zaidi na yote yanatatua tatizo
1. Wewe utapandisha interest muendane
2. Yeye atapunguza interest muendane
3. Na most likely, we utapanda kidogo na yeye atashuka kidogo halafu kila kitu sasa kitakiwa verse balance kama akaunti ya fisadi.
4. Yaani verry remote chance kisitokee chochote

Yaani kama wewe JARIBU kwanza ndio uje ukatae.
 
Miaka 22 ni mtu mzima?
Hakuna umri wa utu uzima, ukishajitambua jua wewe tayari ni mtu mzima . Ukitambua majukumu yako, nafasi yako kijamii, hakuna sababu ya kusimamiwa wala kutiliwa shaka.

So huyo Mwanamke kama anajitambua kama mtu mzima tayari atambue majukumu yake kama mke wa mtu
 
Tatizo sio style wala sio nguvu mkuu, yani physical niko okey, ila mental/ psychologically ndio shida.

Ile idea kwamba nifanye romance muda mrefu mara nikate kiuno saa nzima yani naona kama adhabu kwa sasa. Na kadri siku zinavyozidi kwenda ndo napoteza interest zaidi, kwakweli sijui ten years ahead itakuaje kwenye hii ndoa.
Mwambie akutomb* kwani hajui kuikalia? Kazi yako iwe kusimamisha tu, au napo huwezi?

Na hilo likishindikana basi kataa ndoa, itakutesa unamuona mwenzio kama mzigo.
 
Swala la umri sio ishu sana, ishu kubwa ilikuwa ni kujuana kabla ya kuoana

Kuna wanawake wanapenda sana sex, kuna wanaume wanapenda sana sex

Kuna wanawake /wanaume wanapenda kimoja kimoja tu

Shida inakuja mwanaume mpenda sex akimuoa mwanamke asiyependa sana sex

Au mwanamke mpenda sex akiolewa na mwanaume asiyependa sex.

Hapo lazima mmoja amtese mwenzake

Umeoa au kuolewa na hupendi Mnyanduo , ulioa au kuolewa kwa lipi sasa, kwenda kupiga nayo picha ama ! [emoji3]
 
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
WENZIO WANAJUTA OPP LOH DUNIA INA MENGI
OA ALIEKUZIDI UMRI UTAISOMA NO
 
Back
Top Bottom