Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Mmh yani ndani ya masaa matatu yote unakata viuno tu? Hii ni chai kabisa labda kama umepaka mkongo
Mkuu ushuhuda recent ni asubuh ya leo.Hapa ndio nimetoka kuoga na kunywa chai natulia home maana morning glory ya weekend hii tulianza saa 12 na nusu tumemaliza saa 3 kamili.
Sasa nikikitanaga na mali mpya ni 5++ hours per round. Kubali au kataa siwez kukulazimisha
 
Huo ni ugonjwa unaitwa delayed ejaculation, huwezi kupiga mbupu masaa matatu hilo ni tatizo, haitakiwi kufika one hour na haitakiwi kupungua dakika 10. Huyo mkeo unamtesa, ni kwamba tu hasemi, akiona mateso yanazidi atakukimbia.
 
Mkuu, angekusikia hiki ulichosema angekupiga na mwiko.
Maana tukiwa bafuni tunaoga akanitunuku tena ,nikapiga kama dakika 20 hivi kisha tukaendelea kuoga.Yeye kamaliza kuoga karud kulala usingiz mzito..niko na madogo tu hapa tunafanya homework za shule
 
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
Kumbe bado mnaoa!!!???
 
Huo ni ugonjwa unaitwa delayed ejaculation, huwezi kupiga mbupu masaa matatu hilo ni tatizo, haitakiwi kufika one hour na haitakiwi kupungua dakika 10. Huyo mkeo unamtesa, ni kwamba tu hasemi, akiona mateso yanazidi atakukimbia.
Mwaka wa 10 huu kwenye ndoa bado hajaona kama mateso yanazid au sipeleki moto vizuri?
 
haszu nakupa tiba hi, tumia Tangawizi 1 na Kitunguu swaumu punje 8.
[emoji117]Twanga pamoja, utakuwa una chemsha una kunywa asubui na jioni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] y
Mshauri namna ya kukuza biashara zake au kubiresha utendaji wake kazini. Huu ujinga wa kuhangaika kuwaridhisha wanawake ni UTUMWA BARIDI.
 
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
Pole sana mkuu. Lakini bado hujachelewa; unaweza kumuoa mke wa pili mnayelingana umri halafu huyo mdogo ukawaachia vijana wajivinjari. Maisha ni kusaidiana ndugu yangu.
 
Mkuu ushuhuda recent ni asubuh ya leo.Hapa ndio nimetoka kuoga na kunywa chai natulia home maana morning glory ya weekend hii tulianza saa 12 na nusu tumemaliza saa 3 kamili.
Sasa nikikitanaga na mali mpya ni 5++ hours per round. Kubali au kataa siwez kukulazimisha
Dar - Dodoma kwa basi ni 5hrs
Dar- Johannesburg RSA ni 4hrs
Robo ya siku ina masaa sita

Wewe kwa muda km huo unatafuta goli moja. ..
Pasi shaka huna jukumu lolote hapa duniani......siku utakapotoanza kuwa na majukumu na kujitegemea utabadilika..
 
Back
Top Bottom