Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Sio masuala ya uwezo, ni masuala ya interest..unajua kuna time ifika hasa hizo age za 32 hiv mara nyingi mtu hujikuta unakua serious sana maisha ile kuyatazama katika picha kubwa saaa mambo madogo madogo ya kijinga (ofcz sex ni upumbavu pumbavu tu) unakua huyap sana nafas ..unaweza lala hata week na mwanamke usiwe na hamu nae kabisaaaaaaa na sio kwamba haisimami nooo ila tu prioritiez za nini kinachukua nafas katika ufaham wa mtu sex inakua mbali huko chin katika list..

Hapo hata utembelewe uchi, humtamani mwanamke

Yan ni kama kujaribu kula mbunye wakat umebamwa na haja kubwa..Haiwezekani
Wee Faller una Low Libido ,acha kutupiga kama
 
Nilidhani mke ndo yuko na 32, kumbe wewe.

32 ni kijana mdogo mno, bado nguvu unazo.
Labda tu uwe mtu usiyependa ngono.

Na pia mkuu wewe ni kimoko chali wa toka kitambo usisingizie umri.
 
Mkuu ulioa mpenda sex shida siyo wewe..

Sasa fanya mazoezi, kunywa maji ya kutosha, kula mbegu za maboga, korosho, karanga ,vitunguu swaumu, chai ya tangawizi , mayai ya kienyeji ya kuchemsha na mboga za majani kwa wingi..

Kuhusu kupangilia huo ulaji i am sorry to say it is up to you.

Nb. Hata sisi vijana tunachapiwa sana hivyo usife moyo mwanamke haridhiki
 
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
Atunaye uyu tena
 
Kwa kawaida ndoa haipaswi kuwa na majuto, wanandoa mnapaswa kuwa kwa ajili ya wenzi wenu sio kuwaza kwa ubinafsi.

Kwa maana ya ndoa, unapaswa kuendana naye mwenzi wako na sio kujiweka kisaikolojia kuwa wewe na yeye hamwendani tena.

Kwa kuwa yeye ni mhitaji sana, naona ni jambo zuri kwani linakuamsha wewe kufurahia tendo kwa uhakika wa kulipata kwa kutosheka.

Kuna walio kwende ndoa wenzako wanapewa tendo kwa kupimiwa kama vidonge vya dozi. So wewe una bahati hukaukiwi tendo kwa mkeo.

Badala ya kulalamika, furahia hiyo nafasi mkuu.

Ova
 
Nguvu za kiume umeishiwa ndugu pole sana fanya mazoezi kula vizuri piga show mtoto mpaka awe anaridhika unakojoa haraka haraka ili iweje
Mi wangu tofauti kanizid 15 yupo 40 something na moto anapeleka na kakuzidi wewe umri unakwama wapi dogo
Na wanawake kila tunavyokuwa hamu ya ngono inaongezeka zaidi
Hajasema anakojoa haraka, kasema kapoteza interest.
 
Back
Top Bottom