Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Miaka kumi sio mingi utakuwa una shida kamuone doctor, Kuna watu wanapishana miaka 20 na bado wanapafom vizuriSwala la umri sio ishu sana, ishu kubwa ilikuwa ni kujuana kabla ya kuoana
Kuna wanawake wanapenda sana sex, kuna wanaume wanapenda sana sex
Kuna wanawake /wanaume wanapenda kimoja kimoja tu
Shida inakuja mwanaume mpenda sex akimuoa mwanamke asiyependa sana sex
Au mwanamke mpenda sex akiolewa na mwanaume asiyependa sex.
Hapo lazima mmoja amtese mwenzake