Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Wee Faller una Low Libido ,acha kutupiga kama
 
Nilidhani mke ndo yuko na 32, kumbe wewe.

32 ni kijana mdogo mno, bado nguvu unazo.
Labda tu uwe mtu usiyependa ngono.

Na pia mkuu wewe ni kimoko chali wa toka kitambo usisingizie umri.
 
Mkuu ulioa mpenda sex shida siyo wewe..

Sasa fanya mazoezi, kunywa maji ya kutosha, kula mbegu za maboga, korosho, karanga ,vitunguu swaumu, chai ya tangawizi , mayai ya kienyeji ya kuchemsha na mboga za majani kwa wingi..

Kuhusu kupangilia huo ulaji i am sorry to say it is up to you.

Nb. Hata sisi vijana tunachapiwa sana hivyo usife moyo mwanamke haridhiki
 
Atunaye uyu tena
 
Kwa kawaida ndoa haipaswi kuwa na majuto, wanandoa mnapaswa kuwa kwa ajili ya wenzi wenu sio kuwaza kwa ubinafsi.

Kwa maana ya ndoa, unapaswa kuendana naye mwenzi wako na sio kujiweka kisaikolojia kuwa wewe na yeye hamwendani tena.

Kwa kuwa yeye ni mhitaji sana, naona ni jambo zuri kwani linakuamsha wewe kufurahia tendo kwa uhakika wa kulipata kwa kutosheka.

Kuna walio kwende ndoa wenzako wanapewa tendo kwa kupimiwa kama vidonge vya dozi. So wewe una bahati hukaukiwi tendo kwa mkeo.

Badala ya kulalamika, furahia hiyo nafasi mkuu.

Ova
 
Hajasema anakojoa haraka, kasema kapoteza interest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…