Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Fanya unachoweza kwake
Usiwaze kufanya ngono ili kumfurahisha
Kama ni mkeo inabidi yeye ndo aingie kwenye mfumo wako
Sio ww uingie kwenye mfumo wake
 
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
Nitafuta nikupe dawa utakuwa mpya
 
Tafuta vidonge au njia ya kupunguza gas then nenda kwa mkeo...njoo vnishukuru gas ni tatzo kubwa la kimoko chali.
 
Khaaaaa
We unae balaa
Sa 32yrs ndo umechoka hupendi kukuru kakara?
Watu wana 50s na bado wanapanda madirishani wakiidondokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nchi ngumu sana hii.
 
Wewe si bure utakuwa na tatizo la kiafya, yan miaka 32 si ndio ile miaka ya kupeleka moto kweli kweli embu tafuta daktari chap tibu ilo tatizo haraka sana, usipokuwa makini utatombewa mpk akili ikukae sawa
 
Swala la umri sio ishu sana, ishu kubwa ilikuwa ni kujuana kabla ya kuoana

Kuna wanawake wanapenda sana sex, kuna wanaume wanapenda sana sex

Kuna wanawake /wanaume wanapenda kimoja kimoja tu

Shida inakuja mwanaume mpenda sex akimuoa mwanamke asiyependa sana sex

Au mwanamke mpenda sex akiolewa na mwanaume asiyependa sex.

Hapo lazima mmoja amtese mwenzake
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom