Nadhani nimekosa mke wa kuoa

Pita na comment ya mtu wa kwanza mke hatafutwi mnakutana maishani. Unajua ni jambo gumu sana kupata mtu mtakayelala pamoja kuamka pamoja kwa kipindi chote cha maisha yenu na inategemea misimamo yako pindi unapompata huwez kuwa serious et wiki mbili mtu atumie laki saba alaf ndo useme huyo ni wife material mtu lazima umpime kwenye nyanja zote uelewa wake uvumilivu wake na upambanaji wakwemaisha. Mke hatafutwi ndugu
 
Emotional damage is real
 
We inaelekea unapotafuta unakuwa hujamkubal kiivo maana MTU hawez kusema haka kajinga ukapiga chin ,yaan hapo makofi Kwanza
 
Kitu ingine huwa naona mwanamke wa kumpata ukiwa kwenye arakati za wengi wanakuwaga wanakasoro nyingi japo wanakuwaga wife material lakin huwa siyo kitu roho inapenda,na maana mtu akiowa Kwa mfumo uo anaanzaga kuchepuka
 
Ya kweli haya? Kama ni kweli na wewe ujitathmini. Kila la kheri.
 
Ahsante
 
Kwenu hakuna warembo mpaka utafutie huku mjini?
Kaoe kwenu mtoto fresh from school.
 
Nipe huyo WA 4 maana Nina Jambo lake kwenye mnigeria .........umetua Jana .....nipe fasta namba yake pm
 
Emotional damage is real
Nani ameachwa Sasa mie au yeye yeye ndio umwambie hivyoo humu mnadharau mnaishi maisha ya kipuuzii halafu una kariri maisha mnapenda kuyapractise halafu mnaachwa siye tukiwa humu ni humu humu tunaacha ujinga wote tukiwa na mababe wetu 😝 tunadekedhwa na kudekedha mtabaki naushenzi wenu na vijineno vya kifala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…