Nadhani nimekosa mke wa kuoa

Nadhani nimekosa mke wa kuoa

Pita na comment ya mtu wa kwanza mke hatafutwi mnakutana maishani. Unajua ni jambo gumu sana kupata mtu mtakayelala pamoja kuamka pamoja kwa kipindi chote cha maisha yenu na inategemea misimamo yako pindi unapompata huwez kuwa serious et wiki mbili mtu atumie laki saba alaf ndo useme huyo ni wife material mtu lazima umpime kwenye nyanja zote uelewa wake uvumilivu wake na upambanaji wakwemaisha. Mke hatafutwi ndugu
 
Mnadharau sana
Jingine hamjieshimu ,
Tatu mnajiona mnajua mnataka muheshimiwe na hamjieshimu ,
Nne muonyeshi upendo mnaonyesha majivuno na mnawatu wenu ambao mnawaona wanawafaa just guest mtu anapanga anamawazo yakumuoa Rihanna au Beyonce na huku uwezo wake ni hamida wa buza Sasa wewe siunapoteza muda .

Ukiangalia hata gari Huna , pamba Huna .

Haya tuseme unayo gari Huna nyumba au unanyumba halafu Huna gari.

Halafu mtu hawezi kujiongeza na kufanya juhudi za kupata hela za kutosha .

Mimi na rafiki ni wakiume ila anaheshima na upendo nampenda sana .

Kama hajanikuta nimedouble tungeoana .


Jiheshimu waheshimu wengine .

Acha maringo na kuamrisha watu .

Amrishaneni , penda kiukweli , karibu kuwa mtu mzima wanaume wengi wabongo saivi wanadharau hata akiomba k ni anakudhihaki kwanza
Emotional damage is real
 
We inaelekea unapotafuta unakuwa hujamkubal kiivo maana MTU hawez kusema haka kajinga ukapiga chin ,yaan hapo makofi Kwanza
 
Kitu ingine huwa naona mwanamke wa kumpata ukiwa kwenye arakati za wengi wanakuwaga wanakasoro nyingi japo wanakuwaga wife material lakin huwa siyo kitu roho inapenda,na maana mtu akiowa Kwa mfumo uo anaanzaga kuchepuka
 
Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya Musa mfupi, si zaidi ya miezi 6.

Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano.

Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida kwake kulewa Hadi kujikuta ameopolewa na wanaume Wengine. Mimi siyo mnywaji kabisaa. Nilipomkanya akanuna mazima.

Wa pili alikuwa mjasiriamali. Katika kipindi cha wiki mbili za Mahusiano kashakula laki 7 yangu na bado anananipa Bill ndefu. Nikajiengua kimya kimya.

Wa tatu alikuwa Ni mtu wa nyanda za juu kusini. Kosa lake ni lugha ya dharau. Mara kwa mara alikuwa ananisonya(huwa sipendi kusonywa). Mara ya mwisho alinisonya na kuniambia " kaone haka nako kajinga", nikaona huu Ujinga. Niliwasha makonzi ya utosini, Nikaamua kumfukuza usiku wa manane.

Wa nne alikuwa ananiomba nimle tigo nikamuambia siwezi, akaamua mwenyewe kuniacha.

Wa tano nilimuacha mwezi huu baada ya mama yake mzazi kunitaka kimapenzi. Nikaona Mtoto wa kahaba hawezi kuwa mama wa watoto wangu.

Nadhani Sasa nikubali tu yaishe.
Ya kweli haya? Kama ni kweli na wewe ujitathmini. Kila la kheri.
 
Pita na comment ya mtu wa kwanza mke hatafutwi mnakutana maishani. Unajua ni jambo gumu sana kupata mtu mtakayelala pamoja kuamka pamoja kwa kipindi chote cha maisha yenu na inategemea misimamo yako pindi unapompata huwez kuwa serious et wiki mbili mtu atumie laki saba alaf ndo useme huyo ni wife material mtu lazima umpime kwenye nyanja zote uelewa wake uvumilivu wake na upambanaji wakwemaisha. Mke hatafutwi ndugu
Ahsante
 
Kwenu hakuna warembo mpaka utafutie huku mjini?
Kaoe kwenu mtoto fresh from school.
 
Nipe huyo WA 4 maana Nina Jambo lake kwenye mnigeria .........umetua Jana .....nipe fasta namba yake pm
 
Emotional damage is real
Nani ameachwa Sasa mie au yeye yeye ndio umwambie hivyoo humu mnadharau mnaishi maisha ya kipuuzii halafu una kariri maisha mnapenda kuyapractise halafu mnaachwa siye tukiwa humu ni humu humu tunaacha ujinga wote tukiwa na mababe wetu 😝 tunadekedhwa na kudekedha mtabaki naushenzi wenu na vijineno vya kifala
 
Back
Top Bottom