copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
Kama unaamini kuna mchezo sasahivi, kwanini usiamini pengine mchezo ulichezwa wajati ule?Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Kama alijua alishindwa kuwa tambua kuwa uwanja was ndege Chato na mbuga za wanyama Burigi,no mradi was kijinga ....hili nalo linawezekana!Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Soma taatifa za Wana mazingira uone jinsi Hali ya Tania nchi ilivobadilika ktk bonde la mto Rufiji kwa kipindi Cha miaka 20 iliyopita!usilinganishe ruvu na rufiji.Rufijini na issue nyingine..kama unabisha nenda pale rufiji daraja la mkapa harafu jizamishe uone kina cha maji yanayopita
Halafu eti lilikuwa linapata faida na kutoa Gawiokwa Serikali...jamaa alitufanya wajinga kweli!Mbona kwenye ndegr alipiga na bado tumelula hasara hadi leo shirika bado hata mishaharatu ya wafanyakazi haliwezi kugenerate mpaka unajiuliza kwani abiria wanapanda bure?
Magufuli alianzisha miradi ajipigie 10% tu.
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Buraza maji yapo na yapo mengi sanaMatrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
An alarmist,...and an imperialist stoogeMatrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Kupungua ni kawaida tuPale maji hubaki kama mfereji tu kiangazi.
Huwezi tegemea umeme wa maji huku ukiharibu miti/mazingira.
Haya hiyo rufiji tutakuja kuambiwa kina kimepungua.
Simple, kuwa miaka hii kuna mabadiliko ya hali ya hewa yanayoathiri upatikanaji wa maji through out the year hivyo kutegemea umeme wa maji ni risk, ndio katoa mfano wa Kasim kwenda kukagua RuvuNajaribu kupata muunganiko wa heading na mtiririko wa habari yenyewe nakosa.Labda sijaelewa kwa sababu ya ugumu wa bichwa mlio elewa msaada tutani!
Mchezo upi?Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Tafuteni taarifa sahihi msisubiri kutoka kwa shaka hamdu Mradi hauna HelaSexless wewe umetumwa na Makamba upime kina cha maji ? Upuuzi wowote atakaofanya Makamba kuhujumu mradi wa JNHPP utammaliza kisiasa, Tanesco imeshamshinda asijaribu sasa kuhujumu na mradi muhimu wa kitaifa wa JNHPP.
Tutaweka mabomba toka ziwa Victoria kujaza hiyo damMatrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Hatujapigwa, tumenunua mafuta ya kula kwenye chupa ya mafuta ya taa, tusimlaumu mwenye duka. Uzembe ni wetu wenyewe kwani wajenzi wanatimiza vigezo vyote kwa usahihi.Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Mnampa Jina Baya MzilankendeHatujapigwa, tumenunua mafuta ya kula kwenye chupa ya mafuta ya taa, usimlaumu mwenye duka. Uzembe ni wetu wenyewe kwani wajenzi wanatimiza vigezo vyote kwa usahihi.
nyie ndio zile shahawa ambazo mama enu alizikimbilia wakati zilitakiwa kwenda chooniMatrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
@Dr Akili , Mafia ni kisiwani.Mto Ruvu hauna uhusiano wo wote na mto Rufiji. Mto Rufiji ndiyo mto mkubwa na mrefu kuliko mito yote nchini Tanzania na hata siku moja haujawahi kupungukiwa maji. Pale kwenye Stigler's gaudge ya mto huu ndipo tunajenga JNHPP. Great Ruaha ni moja ya tributaries zake kubwa. Mto huu haupitii DSM bali Mafia mkoani pwani maili tatribani 200 kusini ya DSM.
Tupe takwimuMto rufiji umepungua sana kina , hata ukipita pale darajani utaona, halafu sasa hivi shughuli za ufugaji zinaendeleq upande ule , tutegemee the worst.
una uhakika kapumzika?Mtoa mada jifunze kutafakari kwa kina kabla ya kuongea au kuandika jambo hadharani. Pia punguza chuki binafsi kwa JPM, yeye kashapumzika wewe unayehangaika kuchafua taswira yake utapata pressure bure.