Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Dah nimeisoma aise!miamba ya huko walikuwa wamepinda!
 
Ko Gaya hawana wapenzi? Au wana jidate wenyewe?? Hivi mko timamu nyie waja?
Km huna mpenzi basi polee shostiee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua nilitaka nikuowe, sasa nikawa nashangaa waja wanadai, we ni msela ila upinde Kwa kweli niliumia sana moyo wangu sijawahi umia hivi coc,
 
Unajua nilitaka nikuowe, sasa nikawa nashangaa waja wanadai, we ni msela ila upinde Kwa kweli niliumia sana moyo wangu sijawahi umia hivi coc,
Sasa kwanini uumie atiii? Wa kuwaoa wako wengii mnoo, ni wee na juhudi yako tu. Unakwama wapiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…