Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Nyie hapo tabata kuna ki bar mixer na ki club

Ni laana mbayaa

Ndani ya club kuna club ingine yaani unalipia kuingia club alaf ukitaka kuingia tena club ndani ya club unalipia tena

Balaa lipo ndani ya hiyo club iliyondani ya club, mama hangu Weeh

Ukisema laana ndio ipo humo ukilipa tu kiingilio kwanza lazima umuingilie mwanamke then ndio unapita mlangoni tena umuingilie kinyume na maumbile.. wanasema kukutoa haibu ya humo ndani

Then umo ndani sasa hastaghafirullah

Yaani mwanamke akikufata akikwambia anataka umuingilie ukikataa unatolewa nje yaani unamuinamisha mbele za watu na hakuna kushangaana

M/Mungu ana hekma zake kuuacha huu ulimwengu na kutouangusha mpaka sasa daaah
Sio kwa ubaya lakini taarifa yako inatia shaka sana.
 
Back
Top Bottom