Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Wee nialike, nafasi nikiwa nayo nakujaa.
Basi inshaallah ya mwaka ujao jiandae basi nazani itakua Zanzibar inshallah, pliz usiniangushe, ni. October 07, usije sema umebanana, naomba mwakani weka ratiba hii pliz kwenye mambo yako
 
Enzi zetu Arusha kulikua na makondeko genz hawawezi ifaham, ikaja shivas, moro kaumba na standi ya mkoa..hizo sehem nimeona ufuska wa hali ya juu.
Ila ufuska unaoendelea vyouni ni wa hali ya juu kuliko huo tunaona kwa macho.
Miaka kadhaa nyuma, kakangu mkubwa kidogo kabarikiwa ridhki kwa kiasi chake. Pesa ya kubadilisha magari ya gharama haimpigi chenga, smart na ana mwonekano na elimu ipo.
Alichapa marafiki 6 chuo kimoja visu hatari(big 6).
 
Kitambaa Cheupe mnapazingizia tu. Pana wastaarabu sana.

Izo sehemu mbili tajwa kwa level yangu ya dhambi, nimeona mengi sana.
Hebu simulia kidogo mkuu. Hao machanguduo wanakuwa na vyumba ndani ya Hoteli au ni vipi?
 
Nyie hapo tabata kuna ki bar mixer na ki club

Ni laana mbayaa

Ndani ya club kuna club ingine yaani unalipia kuingia club alaf ukitaka kuingia tena club ndani ya club unalipia tena

Balaa lipo ndani ya hiyo club iliyondani ya club, mama hangu Weeh

Ukisema laana ndio ipo humo ukilipa tu kiingilio kwanza lazima umuingilie mwanamke then ndio unapita mlangoni tena umuingilie kinyume na maumbile.. wanasema kukutoa haibu ya humo ndani

Then umo ndani sasa hastaghafirullah

Yaani mwanamke akikufata akikwambia anataka umuingilie ukikataa unatolewa nje yaani unamuinamisha mbele za watu na hakuna kushangaana

M/Mungu ana hekma zake kuuacha huu ulimwengu na kutouangusha mpaka sasa daaah
Kwahiyo na wewe ulipata access baada ya kukubali masharti? 😥
 
😅😅 huyu alinianza 100k, bao mbili moja kule na lingine kule, nikakaa zangu kimya ( nika blue tick ) sasa hivi ana hangaika mwenyewe. Wao wanahisi tunaokota hela
cocastic mishe za boss wako umeziona lakini? 😹😹
 
Back
Top Bottom