Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Wee nialike, nafasi nikiwa nayo nakujaa.
Basi inshaallah ya mwaka ujao jiandae basi nazani itakua Zanzibar inshallah, pliz usiniangushe, ni. October 07, usije sema umebanana, naomba mwakani weka ratiba hii pliz kwenye mambo yako
 
Enzi zetu Arusha kulikua na makondeko genz hawawezi ifaham, ikaja shivas, moro kaumba na standi ya mkoa..hizo sehem nimeona ufuska wa hali ya juu.
Ila ufuska unaoendelea vyouni ni wa hali ya juu kuliko huo tunaona kwa macho.
Miaka kadhaa nyuma, kakangu mkubwa kidogo kabarikiwa ridhki kwa kiasi chake. Pesa ya kubadilisha magari ya gharama haimpigi chenga, smart na ana mwonekano na elimu ipo.
Alichapa marafiki 6 chuo kimoja visu hatari(big 6).
 
Basi inshaallah ya mwaka ujao jiandae basi nazani itakua Zanzibar inshallah, pliz usiniangushe, ni. October 07, usije sema umebanana, naomba mwakani weka ratiba hii pliz kwenye mambo yako
Octoba 7, same na Jakaya kikwete hiyo b'day, hongeraaa.
 
Kitambaa Cheupe mnapazingizia tu. Pana wastaarabu sana.

Izo sehemu mbili tajwa kwa level yangu ya dhambi, nimeona mengi sana.
Hebu simulia kidogo mkuu. Hao machanguduo wanakuwa na vyumba ndani ya Hoteli au ni vipi?
 
Kwahiyo na wewe ulipata access baada ya kukubali masharti? πŸ˜₯
 
πŸ˜…πŸ˜… huyu alinianza 100k, bao mbili moja kule na lingine kule, nikakaa zangu kimya ( nika blue tick ) sasa hivi ana hangaika mwenyewe. Wao wanahisi tunaokota hela
cocastic mishe za boss wako umeziona lakini? 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…