Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Kuna shidooo??
Hakuna ni maamuzi tu nafikiri huu mwili umepewa ili uamue uweje

Kuna kipindi tuliambiwa kuna kazi vijana tukakusanywa na tukapelekwa kwenye enterv
Kuna shidooo??
hakuna shida, ni maamuzi tu kwani mwili ni wako unamaamuzi uufanyaje

Nisaidie kitu , kuna taasisi za kuamasisha watu waingie kwenye mambo ya upinde kwa malipo ya pesa hapa tanzania unazifahamu
 
Vipi unataka kuingia huko au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…